Hotel ya bei ndogo Arusha

Hotel ya bei ndogo Arusha

Jaribu pia Lush Garden Annex,karibu na Florida Bar...utalala na utatamani kurudi hapo tena siku nyingine
 
!
!
mambo ya ritayamenti sio......unakuwa na vitabu vyako vya risiti ka vitatu hivi au vinne vya rangi tofauti na shughuli tofauti. Cha hoteli, cha usafiri, cha stationery na kingine hakieleweki multi papasi, maisha saafi.

Wewe nimekupenda..........
 
Mkuu hapo karibu palikuwa na kamgahawa matata sana sijui kama bado kapo.Pia kuna Hotel nzuri sana inaitwa Blue Rose kama sijakosea ,ni ya heshima sana yale mambo ya hovyo hayapo ni kama ya kilokole vile inapakana na ofisi za Kilimanjaro Express Bus

Golden Rose bana......au kama anataka hekaheka........aje hapa jirani na kwangu.......Rift Valley.........full self contained........kama anaelewa ninachomaanisha.............
 
Silver palms hotel, bei last yr mwanzoni ilikua 45k sijui ya sasa. Iko safi sana. No alcohol=(
 
Nenda Mrina na Picnc unalala hapo na huduma stahiki utapatiwa usiku ila ukifanya mchezo wanakupukutisha
 
Wakuuu habari leo naelekea Arusha ipi hotel ya bei ndogo wakuuu hapo Arusha ijsyozidi alfu hamsini kwa siku au chini ya hapo??naomba msaada na ukilala unapewa rist ya malipo yako??

nenda kwa mrina au picknick ni jirani na stendi utaenjoy sana ndugu
 
Yeah, kwa monjes ndo mahala pake, ukigeuka kipande Ya pili shivers, n kama Serengeti vile , full options.

Hapo ndio safi maana utaenjoy jinsi kinadada wanavyojirahisisha wakati mitaani wanasingizia kudhalilishwa na wanaume....
 
Nenda MC Ellys karibu na friends kona au karibu na home shopping centre. bei 45 nice place
 
Mkuu hapo karibu palikuwa na kamgahawa matata sana sijui kama bado kapo.Pia kuna Hotel nzuri sana inaitwa Blue Rose kama sijakosea ,ni ya heshima sana yale mambo ya hovyo hayapo ni kama ya kilokole vile inapakana na ofisi za Kilimanjaro Express Bus

Golden rose mkuu, pako poa sana pale.
 
Silver palms hotel, bei last yr mwanzoni ilikua 45k sijui ya sasa. Iko safi sana. No alcohol=(

Hivi walishawekaga lift pale kaka manake na ile tabia yao ya kuwanyima wateha vyumba vya ground floor mpaka wajaze juu na yale mangazi ni balaa kudadadeki
Ila ni ya ukweli coz iko town.
 
Asanteni woote nimefika salama niko hapa Mick Rest house ni pazuri tuu niko hapa high way bar napata supu ya utumbo na chapatii sasa safiii kabisaa Arusha patamu sana
 
!
!
mambo ya ritayamenti sio......unakuwa na vitabu vyako vya risiti ka vitatu hivi au vinne vya rangi tofauti na shughuli tofauti. Cha hoteli, cha usafiri, cha stationery na kingine hakieleweki multi papasi, maisha saafi.

Mkuu hakuna wakati mzuri kama wa kujaza fomu za Imprest na hakuna wakati mgumu duniani kwa mtumishi wa umma kama wakati wa Imprest Retirement..
 
Hivi walishawekaga lift pale kaka manake na ile tabia yao ya kuwanyima wateha vyumba vya ground floor mpaka wajaze juu na yale mangazi ni balaa kudadadeki
Ila ni ya ukweli coz iko town.

Silver palm nayofahamu mimi ina lift, labda kama mbovu
 
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!
HahahHahahahah nimecheka kweli
 
Jaribu pia Lush Garden Annex,karibu na Florida Bar...utalala na utatamani kurudi hapo tena siku nyingine

Mi nilikuwa hapo leo nimewakubali sana.wana huduma nxuri sana.namba yao 0783994466
 
Golden Rose bana......au kama anataka hekaheka........aje hapa jirani na kwangu.......Rift Valley.........full self contained........kama anaelewa ninachomaanisha.............

Sawa sawa ni Golden Rose,miaka mingi sijatinga A town na pande ya Mrina lol,Ah Preta upo Rift Valley lol nilipita long hapo wakati wa akina Tom wakitamba na hela za wanawake wazee wazungu
 
Back
Top Bottom