GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,059
- 126,639
Hii siya ya RIZ1
Hapana Mkuu Ni Ya Mzee MATHROPE 100% Amini Haya Niyasemayo.
Hii siya ya RIZ1
Jamani Mtamuua Mzee Wa Watu MATHROPE Baba Mwezi Ujao 2016 Kwani Nina UHAKIKA Wote Tena ULIOTUKUKA Kuwa Yeye Ndiyo MMILIKI Mkuu Wa Hiyo Hotel Japo MAPOPOMA Wanadai Ni Ya Prince From Msoga. Hakika Rais Dr. MAGUFULI Nimekukubali Na Yule Aliyekuja Na Huu Msemo Kuwa UKITAKA Kumuua Nyani Usimwangalie USONI Sasa Nimeanza Kumwelewa. Pole Sana Mzee Wetu MATHROPE!
Mathrope ndiyo nani. Maana kwingine anasomeka Mkulo. Sijui lakini ni ndogondogo zinapita mitandaoni.
Watamuua kwa presha mjaluo wa watu masikini dahh!
Hapo mmiliki anatakiwa akimbilie mahakamani kuweka pingamizi. Hakuna mtu aliye juu ya mahakama bana. Kuna jengo kama hili lilitaka kuvunjwa Masaki miaka ya 2007. Serikali yenyewe ili back down na mpaka sasa yale majengo yapo.... Duh kamji ka Morogoro kalishaanza kupendeza,sasa wawekezajai wooote watakimbia...
Litafsiri Vizuri Hilo Neno Kwa Kiswahili Kwa Kuzitenga Kwanza Herufi " Ma " Halafu Dadavua Kiumakini Sana Neno La Kiingereza La " Thrope " Kisha Yaunganishe Yote Na Hapo Utamjua Tu Mkuu.
Wamwambie anunue eneo karibu na jengo ilo ili liwe wazi..kwa
Nchi masikinii na watu masikini ni Kufuru kuharibu iyo Mali...kwani ramani ya hapo imetoka ktk vitabu vya dini kuwa haiwezi kubadilishwa..
Hahahahaaaaaa
Ramani za miji na manispaa zipo na haziwezi kuonesha kiwanja juu ya bomba la mafuta!,wanachofanya matajiri ni kuwahonga watendaji na kulazimisha kujenga pasipofaa.Hayo ndo malipo yakeHivi kama kiwanja kapewa na manispaa na amekitafutia hati, kibali cha ujenzi anacho na kipo kihalali, taratibu zote kafuata..hawezi kuishitaki serikali na kudai fidia kama jengo likibomolewa?
Ni Matumaini Yangu Makubwa Kuwa UMESHAMJUA Mkuu. Na Huyo Ndiyo Mwenye Hiyo Hotel Hao Wengine Sijui Mustapha Na Rizmoja Mnawaonea Kama Siyo Kuwasingizia Tu.
Kupeana hasara kivipi? Hivyo unalijua jengo lenyewe? Hakuna mtumishi wa umma kama huyu afanyaye kazi TRA anayeweza kulijenga! Huu ni wizi mtupu wa mali zetu za umma. Isitoshe jeuri ya kujenga eneo la wazi kaipata wapi? Lazima afundishwe adabu na ajue kwamba Tanzania ilikuwepo kabla yeye hajajua kuiba.Hii sasa ni kupeana hasara
hao walijenga wamefanya makosa. lakini watendaji wa serikali walikuwa wapi kuzuia huu ujenz kuanzia ujenzi unaanza? kawaida ujenzi wa gorofa lazima halimashauri ijue na inginia wa halmashauri lazima ahusike. walikuwa wapi wote hawa? serikali isiishie tu kumbomolea huyo jamaa bali iende mbele zaidi kuwawajibisha waliohusika na uzembe huu. to sad.