Kama ni kweli busara inatakiwa itumike, kwanini hio bomba lisipitishwe pembeni kwa gharama za mwenye hoteli? watu wangapi watapoteza kazi iwapo hiyo hotel itabomolewa? mbona mahakama iliwah kuamuru lile jengo karibu na ocean road libomolewe sababu linachungulia ikulu, lkin nadhan kikwete aliona ni ujinga sijui wakaipotezea, ifike pahala watu tuache roho mbaya ndo maana tunakuwa masikin, me sitaki kuamin kuwa morogoro imejaa kiasi cha kuitafuta hiyo hotel tu ndo haikufuata sheria?
Alivyosema Rais mstaafu Mkapa wewe ni mmoja wao. Hotel ya thamani KUBWA hivyo mwenyewe alipaswa kujua kama hapo alipojenga ni halali. Naamini ni pesa yake ilimpa kiburi. Ngoja aisome namba.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kuliko kuibomoa bora serikali iigeuze kuwa hospital
Imejengwa juu ya bomba LA mafuta LA TAZAMA no lazima ibomorewe tu
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
kama serikali ipo serious mbona isiwaahughulikie waliotoa kibali na toka msingi unawekwa wao kimya tu huo ni uka toon
Atiii,aaaah jamani sasa hiyo pesa ya kuwasomesha vijana bure mbona kama wanapunguza vyanzo vya kukusanya pato,hii ni hasara jamanKatibu mkuu tamisemi ameipa manispaa morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa nakuwaajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo . Source TBC habari
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
kama serikali ipo serious mbona isiwaahughulikie waliotoa kibali na toka msingi unawekwa wao kimya tu huo ni uka toon
Serikali iliyokuwepo haikuwa na meno sasa now n serikali mpya kila aliyetenda kosa atawajibika. Ikombolewe tuu sio eneo la majengo ni sehemu ya wazi tena linapita Bomba la Mafuta
Mjengaji na watoa vibali ni sawa na mtoaji na mpokea rushwa. Jengo livunjwe. Watendaji wawajibishwe.
Mjenzi na watoa vibali wachunguzwe. Ila jengo ni haki kubomolewa kama lipo kwenye kiwanja kisicho sahihi.
Waende Mtwara maeneo mengi tu yapo wajenge mahekalu kule
Mahakamani hata kama ulivunja sheria? Sheria haziangalii kiasi ulicho invest. Hata masikini wamevunjiwa, yeye nani asivunjiwe kama kiwanja si halali?
Sina tatizo na kubomoa kama imejengwa eneo lisilo haki kujengwa, ila waanze na kunyoosha maelezo kwanza kuwa huwa wanakuwa wapi majengo hayo yakijengwa? Adhabu za uzembe kazini zianzie kwao...
Sheria huwa zinafuatwa vizuri kwenye nchi zenye mipango, huwez kubomoa mali za watu kwenye nchi ambayo asilimia 80 haijapimwa, bongo hata leo hii ukinunua kiwanja mwaka kesho utaambiwa ni eneo la makaburi
hii nchi ilikuwa imefika sehem ambayo pesa ni kila kitu
Hotel ni nzuri sana lakin iwe fundisho kwa wavamizi wa maeneo ya wazi!
Huo ni upuuzi... Siwezi kumwaga pesa yangu kwenye sehemu yenye utata kama hiyo, muulize huyo mwenye hotel kama alipata hilo eneo kihalali kama sio kwa ufisadi!
Halafu kesho ukisiki kwa Ujenzi wa hiyo hoteli amezui mkondo wa maji na kusababisha mafuriko yaliangamiza roho kadhaa kwa raia wasio na Hatia sijui utasema nini!
Nchi hii itanyoka tu mtu unajenga juu ya bomba la mafuta ,kisa una jeuri ya kuhonga mabwana ardhi,sasa tutajifunza kufuata taratibu
Nimekaa nikafikiria sana na bado sijapata majibu hivi sisi wananchi wa Tanzania tunataka nn katika nchi hii?? Maana kabla ya uchaguzi tulipiga sana kelele za mabadiliko.sasa mabadiliko yanakuja tena kwa kufuata sheria na kwa kutoa vigezo,adv na dis advantage zake,cha ajabu wananchi tumegeuka na kuanza kulalamika hadi mishipa inatutoka.watanzania ni nani aliyetuloga sisi jamani woi! Nnachojua chloroquine ilikuwa chungu sana lkn ilikuwa kiboko ya malaria.tuwaache kesho LA watu wanne wafanye kazi jamani tuache tabia za kulalamika lalamika kusiko na misingi chaa.
Kwani watalipindisha mpaka Zambia,Kupindisha bomba la mafuta kuna implication kwenye kuyasukuma huko yaendako. Pili, huko litakakopelekwa kupo wazi? Kunaweza kuwa na nyumba za watu au miundombinu mingine.
Ww ni mpumbavu kweli na inaonesha huzijui vizuri siasa za tz, watu wanabomolewa kwa hila tu unataka kusema kuwa hiyo ndo hotel pekee iliyojengwa pasipostahili? ziko ngapi? Magufuli aliwah kubomoa shel ya mansoor mwanza ukiachilia mbali kushindwa kisheria unajua nin kiko pale mpaka leo hii? msipende kushabikia vitu msivyovijua undani wake mtakuja banduliwa.
Katibu mkuu TAMISEMI ameipa manispaa Morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa na kuwawajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo.
Chanzo: TBC habari