Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Hakuna haja ya uchaguzi mkuu tena. Magufuli tawala mpaka Mungu atakapokuita. Tujengee heshima na woga wa kuepuka wizi wa mali za umma.
 
Katibu mkuu TAMISEMI ameipa manispaa Morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa na kuwawajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo.

Chanzo: TBC habari

Ghorofa la Flomy liko kwenye viwanja halali Na. 114 & 115 Kitalu D Msamvu na wana vibali vya ujenzi kwa ajiri ya ghorofa hilo....kilichoamuriwa kubomolewa ni kijumba cha generator + kipande cha fence ambacho kimezidi na kuingia kwenye open space na buffer zone ya TAZAMA Pipeline. So far hakuna mtumishi yeyote aliyesimamishwa kazi kutokana na skendo hiyo Isipokuwa alichosema Katibu Mkuu wa Tamisemi ni kwamba Afisa Mipangomiji na Kaimu Engineer wa Manispaa waandike barua za kujieleza kwa nini walikuwa wanaangalia tu wakati wanaona wanajenga kibanda hicho kinazidi?? Ikibainika walitenda kosa ndipo hatua za kinidhamu za kiutumishi zichukuliwe dhidi yao Tofauti na walivyoripoti TBC. Ni hayo tu wapendwa...HAPA KAZI TU
 
Huyo mmriki nae boya tu atafanyaje uwekezaji mkubwa namna hii bila kufanya upembuzi yakinifu? hotel kubwa namna ile unaijenga juu ya bomba la mafuta?? no wonder pesa ya uwekezaji huo itakuwa ni dirtyMONEY

Hakika unayoyasema, angetumia fedha kidogo kufanya tathmini ya athari ya mazingira kama sheria inavyotaka basi angeepukana na hasara kubwa inayomkabili hata bila ya kuvunjiwa hilo jengo (kama ni kweli limejengwa juu ya bomba la mafuta)
 
Ghorofa la Flomy liko kwenye viwanja halali Na. 114 & 115 Kitalu D Msamvu na wana vibali vya ujenzi kwa ajiri ya ghorofa hilo....kilichoamuriwa kubomolewa ni kijumba cha generator + kipande cha fence ambacho kimezidi na kuingia kwenye open space na buffer zone ya TAZAMA Pipeline. So far hakuna mtumishi yeyote aliyesimamishwa kazi kutokana na skendo hiyo Isipokuwa alichosema Katibu Mkuu wa Tamisemi ni kwamba Afisa Mipangomiji na Kaimu Engineer wa Manispaa waandike barua za kujieleza kwa nini walikuwa wanaangalia tu wakati wanaona wanajenga kibanda hicho kinazidi?? Ikibainika walitenda kosa ndipo hatua za kinidhamu za kiutumishi zichukuliwe dhidi yao Tofauti na walivyoripoti TBC. Ni hayo tu wapendwa...HAPA KAZI TU
 
Nchi tulifika pabaya sana. Yaani mkwere akitumia mali za umma na madaraka ya magogoni anajijengea highway nyumbani kwake huku watoto wetu wakaa matopeni darasani! Hivyo sawa kweli! Asante Mungu kutupa Magufuli.
 
Kumbe ni porojo..maana tunajenga nchi sio kubomoa..kama mtu anawekeza sisi tunabomoa kwa kigezo cha kazi tu si sawa
 
Hivi kama kiwanja kapewa na manispaa na amekitafutia hati, kibali cha ujenzi anacho na kipo kihalali, taratibu zote kafuata..hawezi kuishitaki serikali na kudai fidia kama jengo likibomolewa?

Tatizo watu wa aina hii wanakuwa wahongaji wazuri ili kufanya sheria ipindishwe! Utakuta yeye mjengaji ndie alianza kuulizia kama hilo eneo linapatikana labda akaambiwa halitakiwi kujengwa lakini yeye akatumia mbunu zote na ushawishi wote kulipata. Mimi nadhani kubomoa ndio suluhisho zuri ili watu waogope kulazimisha kupindisha sheria kwa kutumia fedha. Kitu serikali inachopaswa kufanya ni kuweka ramani na mipango ya miji kwa uwazi ili watu wajue maeneo yasiyotakiwa kujengwa!
 
Duh! Mnapoongelea "UHALALI" ......... mnanikumbusha sauti ya jaji Lubuva,
 
Utwambie kabisa hotel ni ya nani make kuna huyu POPOMA mmoja anajiita GENTAMYCINE ametuhabarisha kuwa eti ni ya Babaake DogoJembe... sasa wengine tukajiongeza pengine familia imeponzwa na ile mikatuni yake anayorusha kutwa kuchwa mitandaoni kumkashfu Rais wa mioyo ya Watanganyika Mheshimiwa saaana Dr.JJP Magufuli.
 
Last edited by a moderator:
La TANESCO Ubungo Maji lilibakije? Isijekuwa kulivunjwa kwalenga kukamnufaisha zaidi mmiliki!
 
Utwambie kabisa hotel ni ya nani make kuna huyu POPOMA mmoja anajiita GENTAMYCINE ametuhabarisha kuwa eti ni ya Babaake DogoJembe... sasa wengine tukajiongeza pengine familia imeponzwa na ile mikatuni yake anayorusha kutwa kuchwa mitandaoni kumkashfu Rais wa mioyo ya Watanganyika Mheshimiwa saaana Dr.JJP Magufuli.

hivi dogo jembe ndo nani? ngoja nimtafte mentor
 
Last edited by a moderator:
Imejengwa juu ya bomba LA mafuta LA TAZAMA no lazima ibomorewe tu

Kwahiyo unataka kusema wakati wa kuchimba foundation hawakuona hilo bomba? Nchi hii ina maajabu sana.
 
Utwambie kabisa hotel ni ya nani make kuna huyu POPOMA mmoja anajiita GENTAMYCINE ametuhabarisha kuwa eti ni ya Babaake DogoJembe... sasa wengine tukajiongeza pengine familia imeponzwa na ile mikatuni yake anayorusha kutwa kuchwa mitandaoni kumkashfu Rais wa mioyo ya Watanganyika Mheshimiwa saaana Dr.JJP Magufuli.

subiri aje akupe majibu yaliyo TUKUKA
 
Last edited by a moderator:
Ni fitina za kibiashara tu pale moro..hiyo hoteli imewanyang'anya wenzake wateja.

Bomba lenyewe limepita pembeni na imepiwa na wataalam wala hoteli haipo kwenye bomba na wala hoteli siyo ya makamba
 
Back
Top Bottom