Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

limejengwa chini kuna bomba la mafuta la tazama sasa hao walioidhinisha tokea msingi walihama nchi ndio wamerudi amaaa.hii nchi haishi vituko
 
Ahahaaaaaa.
Waje na hapa Banana kituoni,kuna jamaa alipewa hapa eneo kwa ajiri ya uzalishaji wa kuku,sasa yeye kajenga mafremu mengi ya biashara na anakodisha kwa tshs laki 600,000 kwa mwezi na ana frem zaidi ya mia3(300)+mabaa yaliyojazana hapa yani ni shida tupu.

sasa mkuu unataka huyo "babu mangi" akale wapi..?
Pia kumbuka kuwa Java kuna hduma mbali mbali
kama zile za kupata Noah, short service, etc

Ila kiukweli lile eneo la pale banana ni kubwa afu zimejaa
baa uchwara tu wakati pangeweza kujengwa vitega
uchumi vya maana tu (nakumbuka sana ule mradi wa kuku ulikuwepo kipindi cha nyuma)

Wape hi masela wote wa kinyatila, mwanagati,matembele, kibeberu, kwa wakurya rafiki zangu wauza mayai , etc.
 
Wataisoma namba!huu uzembe wa watendaji,kutiana hasara tu,waliohusika na uzembe huo wafungwe jela miaka mia.iwe fundisho kwa matajir,kwa mara ya mwisho nimelala humo mwez october chumba 160000 tu.
 
Hapo mmiliki anatakiwa akimbilie mahakamani kuweka pingamizi. Hakuna mtu aliye juu ya mahakama bana. Kuna jengo kama hili lilitaka kuvunjwa Masaki miaka ya 2007. Serikali yenyewe ili back down na mpaka sasa yale majengo yapo.... Duh kamji ka Morogoro kalishaanza kupendeza,sasa wawekezajai wooote watakimbia...
 
sasa mkuu unataka huyo "babu mangi" akale wapi..?
Pia kumbuka kuwa Java kuna hduma mbali mbali
kama zile za kupata Noah, short service, etc

Ila kiukweli lile eneo la pale banana ni kubwa afu zimejaa
baa uchwara tu wakati pangeweza kujengwa vitega
uchumi vya maana tu (nakumbuka sana ule mradi wa kuku ulikuwepo kipindi cha nyuma)

Wape hi masela wote wa kinyatila, mwanagati, kibeberu, kwa wakurya, etc.

Ahaaaaaa.
Mkuu kumbe ni maeneo yako hee!!!!!
Yule jamaa kapiga HELA ndefu sana mpaka sasa.
Bcoz even familia yake nasikia wanaishi kwa Obama.
By the way huku kwema kabisa mkuu.
Ila pale Ngemo bar pasivunjwe maana ugali wa pale na nyama choma saa mbili asubuhi ni balaaaaaa,yani unaenda town uko saaaaafi na lichupa la maji la lita moja na nusu.
 
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
Watanzania Tujifunze kuishi kwa kufuata sheria ndio tutaendelea, Huu ukanjanja ndio kama hivyo ikija serikali mpya mambo yanabadilika!

Kikwete alikuwa dhaifu, Magufuli ni muumini wa kufuata Sheria!
 
Ukweli ni kwamba nchi ina uozo mkubwa sana ambao tukisema uozo nadhani hasa hilo neno halitoshi kuelezea ni jinsi gani nchi imekua inaendeshwa kijinga jinga tu bila kufuata Taratibu, lakini pia kuna watu wanahongwa na kugeuza ofisi za umma kama maeneo ya kufanya dili za kijinga, katika haya yanayoibuka sasa inaonekana kabisa nchi hii ilikua inajiongoza yenyewe kwa miaka yote hiyo kwasababu udhaifu wa serikali iliyopita ndio umetufikisha hapo tulipo sasa, wasiliotumia rushwa kujenga open spaces wataumia sana na kama ulitumia rushwa ukafanya lolote haramu ujue ni suala la muda tu kabla hujakumbwa..
 
Hivi kama kiwanja kapewa na manispaa na amekitafutia hati, kibali cha ujenzi anacho na kipo kihalali, taratibu zote kafuata..hawezi kuishitaki serikali na kudai fidia kama jengo likibomolewa?
 
shilingi ngapi pale niwah kulala mle before gorofa halijadhushwa lile....
napapenda sana nilipita natokea muslim university nikaiona
 
Hapo mmiliki anatakiwa akimbilie mahakamani kuweka pingamizi. Hakuna mtu aliye juu ya mahakama bana. Kuna jengo kama hili lilitaka kuvunjwa Masaki miaka ya 2007. Serikali yenyewe ili back down na mpaka sasa yale majengo yapo.... Duh kamji ka Morogoro kalishaanza kupendeza,sasa wawekezajai wooote watakimbia...

Mahakama ina uwezo wa kuchelewesha uvunjaji ila haina uwezo wa kuhalalisha Open space na eneo lenye bomba la mafuta kuendelea kuwa Danguro au hoteli.
 
hao walijenga wamefanya makosa. lakini watendaji wa serikali walikuwa wapi kuzuia huu ujenz kuanzia ujenzi unaanza? kawaida ujenzi wa gorofa lazima halimashauri ijue na inginia wa halmashauri lazima ahusike. walikuwa wapi wote hawa? serikali isiishie tu kumbomolea huyo jamaa bali iende mbele zaidi kuwawajibisha waliohusika na uzembe huu. to sad.
 
kama serikali ipo serious mbona isiwaahughulikie waliotoa kibali na toka msingi unawekwa wao kimya tu huo ni uka toon

Hawo wanafwata usijali, kwanza Jengo lazima liende chini ili kesho na wewe ukitaka kufanya uwekezaji uwe muangalifu na unapojenga!
 
Ukweli ni kwamba nchi ina uozo mkubwa sana ambao tukisema uozo nadhani hasa hilo neno halitoshi kuelezea ni jinsi gani nchi imekua inaendeshwa kijinga jinga tu bila kufuata Taratibu, lakini pia kuna watu wanahongwa na kugeuza ofisi za umma kama maeneo ya kufanya dili za kijinga, katika haya yanayoibuka sasa inaonekana kabisa nchi hii ilikua inajiongoza yenyewe kwa miaka yote hiyo kwasababu udhaifu wa serikali iliyopita ndio umetufikisha hapo tulipo sasa, wasiliotumia rushwa kujenga open spaces wataumia sana na kama ulitumia rushwa ukafanya lolote haramu ujue ni suala la muda tu kabla hujakumbwa..
 
Jengo kama jengo halitabomolewa kilichojengwa sehemu isiyostahili ni standby generator tu na ndokitakachobomolewa
 
Hii sass tena ni kurudi nyuma baada ya kwwnda mbele. Haya ngija tuone.
 
Hakuna harufu ya kisiasa ktk hili? Yasemekana hiyo hotel ni ya mwana-UKAWA.
Mwenye uhakika atujuze.
 
Back
Top Bottom