Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Tujifunze na sisi kutaka vitu kwa madili. Ni bora tukafuata sheria
 
walitaka ijengwe mafichoni?
Unajua saa nyingine uneweza kuwa umechanganyikiwa lakini ikari kakurudia sababu ya comments kama hizi! Sema tu kitufe cha 'like' sikioni.
Walisema wataongeza ajira na sasa wanazipunguza, japo ili shamba litoe mazao mazuri ni lazima lisafishwe kwanza. Nawakumbusha tu kuwa hii nchi haijawahi kuwa chini ya mtawala mwingine mbali na genge la ccm ambao ndio hawa hawa wanaotoa amri leo!!!!. Tukubaliane kuwa hawakuwa malaika na makosa waliyoyafanya ingelipendezwa yakaisha kwa maridhiano badala ya vitisho na amri!

 
Ahaaaaaa.
Mkuu kumbe ni maeneo yako hee!!!!!
Yule jamaa kapiga HELA ndefu sana mpaka sasa.
Bcoz even familia yake nasikia wanaishi kwa Obama.
By the way huku kwema kabisa mkuu.
Ila pale Ngemo bar pasivunjwe maana ugali wa pale na nyama choma saa mbili asubuhi ni balaaaaaa,yani unaenda town uko saaaaafi na lichupa la maji la lita moja na nusu.

Ahaaaa..birds of the same feathers normally flocks together.
na bila kusahau huduma ya kila aina ya nyama unayoitaka
iwe ya TANAPA au ya kitaaa...ngawila zako tu.
 
Ukiapa kulinda sheria, hutopata kigugumizi cha kuvunja jengo kama hili. Hili likibomolewa sidhani kama kuna mtu mwingine atavamia na kujenga sehemu isiyoruhusiwa kisheria.
 
Tatizo,suala la ardhi katika miji mingi nchini sheria za mipango miji hazijafuatwa.
Idara ya ardhi kwa kushirikiana na madiwani wenye tamaa ya fedha wamekuwa wanatoa maeneo yasiyostahili kwa wananchi/wafanyabiashara.
 
Naweza kukubaliana na hii mada kwa sababu huyu mmiliki ambaye inasemekana ni kigogo wa tra ulishawahi kutaka kupiga rami kutoka main road hadi maeneo ya hotel kuzuia vumbi na tope wakati wa mvua TANROAD nasikia wakazui kuwa ni njia ya bomba la mafuta so hii issue yaweza kuwa kweli
 
Hotel inaitwaje. Ila hii sio nzuri mtu amejenga kamaliza huduma zimeanza afu inabomolewa. Siasa hizi
Kwani yeye wakati anajenga jengo kubwa hivyo hakujua anapojenga?
 
Huyo mmriki nae boya tu atafanyaje uwekezaji mkubwa namna hii bila kufanya upembuzi yakinifu? hotel kubwa namna ile unaijenga juu ya bomba la mafuta?? no wonder pesa ya uwekezaji huo itakuwa ni dirtyMONEY
 
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
Mmiliki wa hilo jengo ni zezeta. Huwezi jenga jengo kubwa kiasi hicho bila kujua uhalali wa uwanja. Wabomoe tu. Haki sawa kwa wote. Masikini nao wanabomolewa majengo yao waliyoteseka kuyajenga.
 
Ahahaaaaaa.
Waje na hapa Banana kituoni,kuna jamaa alipewa hapa eneo kwa ajiri ya uzalishaji wa kuku,sasa yeye kajenga mafremu mengi ya biashara na anakodisha kwa tshs laki 600,000 kwa mwezi na ana frem zaidi ya mia3(300)+mabaa yaliyojazana hapa yani ni shida tupu.
Huyo anayetoza na daladala?
 
Watamuua kwa presha mjaluo wa watu masikini dahh!
 
limejengwa chini kuna bomba la mafuta la tazama sasa hao walioidhinisha tokea msingi walihama nchi ndio wamerudi amaaa.hii nchi haishi vituko
Yaani hilo bomba la mafuta liko chini kiasi gani? Au hiyo ghorofa msingi umeanza juu mchangani?
 
Awai mahakamani kuweka injunction vinginevyo watamrudisha kwao kenya akiwa kwenye cascade!
 
Serikali italipa I am sure... tena mara mbili kwani hii ni ya kwanza kubomolewa..

Oysterbay walishushaga ile apartment naona imeamka tena baada ya muda...

Unafikiri nyuma ya scenario ni nini ilitokea hapo?
 
hayo ndo matokeo ya ujuaji wa kuwa na hela...hata hao waliompa kibali washughulikiwe haraka iwezekanavyo
 
Mungu wangu gorofa lote mnalipiga chini !!! Mmmmh Nashauri warudi wakakae chini kwanza walijadili upya hilo
 
Unajua saa nyingine uneweza kuwa umechanganyikiwa lakini ikari kakurudia sababu ya comments kama hizi! Sema tu kitufe cha 'like' sikioni.
Walisema wataongeza ajira na sasa wanazipunguza, japo ili shamba litoe mazao mazuri ni lazima lisafishwe kwanza. Nawakumbusha tu kuwa hii nchi haijawahi kuwa chini ya mtawala mwingine mbali na genge la ccm ambao ndio hawa hawa wanaotoa amri leo!!!!. Tukubaliane kuwa hawakuwa malaika na makosa waliyoyafanya ingelipendezwa yakaisha kwa maridhiano badala ya vitisho na amri!

Mkuu tusilie kwa sababu ya jengo hili. Walala hoi pia wanavunjiwa nyumba. Maumivu yao yanafanana. Jengo kama limejengwa pasipostahili linapaswa kuvunjwa. Kuacha kwa sababu ya ukubwa wa jengo inapoteza haki.
 
Back
Top Bottom