Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Hotel kubwa Morogoro kubomolewa

Nimekaa nikafikiria sana na bado sijapata majibu hivi sisi wananchi wa Tanzania tunataka nn katika nchi hii?? Maana kabla ya uchaguzi tulipiga sana kelele za mabadiliko.sasa mabadiliko yanakuja tena kwa kufuata sheria na kwa kutoa vigezo,adv na dis advantage zake,cha ajabu wananchi tumegeuka na kuanza kulalamika hadi mishipa inatutoka.watanzania ni nani aliyetuloga sisi jamani woi! Nnachojua chloroquine ilikuwa chungu sana lkn ilikuwa kiboko ya malaria.tuwaache kesho LA watu wanne wafanye kazi jamani tuache tabia za kulalamika lalamika kusiko na misingi chaa.

yani mkuu watanzania hawaeleweki, eti sasa wanataka ifanykkr negotiation kwa mtu aliyevunja sheria wakati hawa hawa watanzania walikuwa wanapiga kelele wakitaka mabadiliko.
mimi naunga mkono haijalishi kainvest kiasi gani kama hakufuata shera no negotiation libomolewe tu ili iwe fundisho hakuna mtu atathubutu kuiba na kujenga pasipo stahili.
haya mambo ya kubebana ndiyo yametufikisha hapa tulipo.
ila watanzania sijui tufanyiwe nini mtu akichapa kazi mara utasikia huyu anataka sifa sasa
 
wanabomoa kipande kidogo tuu cha fensi pamoja na kibanda cha generator tuu na sio hotel yote
 
yani mkuu watanzania hawaeleweki, eti sasa wanataka ifanykkr negotiation kwa mtu aliyevunja sheria wakati hawa hawa watanzania walikuwa wanapiga kelele wakitaka mabadiliko.
mimi naunga mkono haijalishi kainvest kiasi gani kama hakufuata shera no negotiation libomolewe tu ili iwe fundisho hakuna mtu atathubutu kuiba na kujenga pasipo stahili.
haya mambo ya kubebana ndiyo yametufikisha hapa tulipo.
ila watanzania sijui tufanyiwe nini mtu akichapa kazi mara utasikia huyu anataka sifa sasa

watz wana vipuri vya vichwa
 
mkuu watu wengine uelewa wao ni mdogo sana. mtu ambaye alikuwa zake tu huko mererani akapata jiwe likamtoa hana muda wakufikiria haya yote. na sio kosa lake bali la serikali kwa sababu ndo yenye wajibu wa kuwategenezea wananchi wake uelewa.
kwa sababu huo ni uzembe wa serikali basi ingeweza kumlinda huyo mtanzania aliyejihangaikia bila elimu kujipatia kipato. narudia kusisitiza kuwa ni wajibu wa serikali kwa kiasi kikubwa kuwalinda na kuwaongoza watanzania kufanya mambo sahihi. siioni serikali ikijitoa kwenye hizi lawama.

Shida ya baadhi yetu hata tukiambiwa kwamba hili eneo si halali kwa ujenzi basi tunatembeza mkwanja kwa imani kwamba baada ya muda watu watasahau.

Lakini seriously, hivi wewe mwekezaji na akili zako timamu unajenga kitegauchumi cha kiwango kile juu ya bomba la mafuta au maji? Siku likija kupasuka utasema nini, Mungu amekuonea, au ilikuwa bahati mbaya?
 
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?

Hahaaa
 
Hivi kama kiwanja kapewa na manispaa na amekitafutia hati, kibali cha ujenzi anacho na kipo kihalali, taratibu zote kafuata..hawezi kuishitaki serikali na kudai fidia kama jengo likibomolewa?

Kwani mnunuzi wa hilo eneo hukujua kwamba ni eneo la wazi? Atakuwa ameshirika mchongo wote kisa jeuri ya pesa, mwache ale jeuri yake iwe mfano kwa wengine hapa kazi tu, ushoga peleka msoga
 
hii si iko karibu na Tanesco hii daaah ..karibu na muslims university duuu.
 
Ghorofa la Flomy liko kwenye viwanja halali Na. 114 & 115 Kitalu D Msamvu na wana vibali vya ujenzi kwa ajiri ya ghorofa hilo....sasa kilichoamuriwa kubomolewa ni kijumba cha generator + kipande cha fence ambacho kimezidi na kuingia kwenye open space na buffer zone ya TAZAMA Pipeline. So far hakuna mtumishi yeyote aliyesimamishwa kazi kutokana na skendo hiyo Isipokuwa alichosema Katibu Mkuu wa Tamisemi ni kwamba Afisa Mipangomiji na Kaimu Engineer wa Manispaa waandike barua za kujieleza kwa nini walikuwa wanaangalia tu wakati wanaona wanajenga kibanda hicho kinazidi?? Ikibainika walitenda kosa ndipo hatua za kinidhamu za kiutumishi zichukuliwe dhidi yao.
 
Katibu mkuu TAMISEMI ameipa manispaa Morogoro mpaka tarehe Tisa wawe wameshaibomoa na kuwawajibisha watumishi walioruhusu ujengwaji huo.

Chanzo: TBC habari
ubabaishaji na upotoshajiushaanza. taarifa ya awali ni kwamba hoteli imejengwa kwenye open space...kiwanja kimechongwa kwenye eneo originally ilikua ni open space. ndio hiyo mambo rais kasema matajiri wanatumia utajiri wao kudhulumu maslahi ya umma.
 
Ghorofa la Flomy liko kwenye viwanja halali Na. 114 & 115 Kitalu D Msamvu na wana vibali vya ujenzi kwa ajiri ya ghorofa hilo....sasa kilichoamuriwa kubomolewa ni kijumba cha generator + kipande cha fence ambacho kimezidi na kuingia kwenye open space na buffer zone ya TAZAMA Pipeline. So far hakuna mtumishi yeyote aliyesimamishwa kazi kutokana na skendo hiyo Isipokuwa alichosema Katibu Mkuu wa Tamisemi ni kwamba Afisa Mipangomiji na Kaimu Engineer wa Manispaa waandike barua za kujieleza kwa nini walikuwa wanaangalia tu wakati wanaona wanajenga kibanda hicho kinazidi?? Ikibainika walitenda kosa ndipo hatua za kinidhamu za kiutumishi zichukuliwe dhidi yao.

Haya maelezo yamekaa vizuri na yameeleweka

Lakini kwa sehemu naona yanatofautiana na video clip niliyonayo ya Katibu Mkuu....mazungumzo na msisitizo wake yanaakisi kushushwa kwa jengo zima na hata mtangazaji alireflect hivyo kuwa ameagiza kuvunjwa kwa hotel.....pia aliagiza Afisa Utumishi kuwachukulia hatua kwa kutoa kibali.....

So far nilichosikia eneo ilipo hotel ni hili la generator na fence ila kwenye Media na Msisitizo wa PS ni kuwa limewasilishwa lisivyo
 
jamani hiyo hotel imejengwa katika bomba la mafuta la TAZAMA. kitu ambacho ni hatari kupindukia. inabidi ibomolewe tu. ila wahusika wamlipe huyo bwana. lakini pia serikali ijiridhishe maana anaweza kuwa alikwepa kodi hivyo nae akachukuliwa hatua.
 
Inabomolewa sehemu iliozidi sio hotel yote, na sehemu iliozidi ni banda la generator.....too much exaggeration
 
Back
Top Bottom