manya kitula
Senior Member
- Apr 1, 2015
- 178
- 45
Wapigwe tu! Mimi nasema wapigwe tu hakuna namna.
Inauma nipo Moro nikiliona tu naumia ila hakuna namna
Yaani hilo bomba la mafuta liko chini kiasi gani? Au hiyo ghorofa msingi umeanza juu mchangani?