Spider
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,641
- 556
hivi dogo jembe ndo nani? ngoja nimtafte mentor
ni yule alikuwa waziri mwenye kupenda kunyoa nywele zote kichwani.
hivi dogo jembe ndo nani? ngoja nimtafte mentor
Hoteli ni ya jitu la TRA lakini limeijenga miaka mingi yawezekana limedundulizaUtwambie kabisa hotel ni ya nani make kuna huyu POPOMA mmoja anajiita GENTAMYCINE ametuhabarisha kuwa eti ni ya Babaake DogoJembe... sasa wengine tukajiongeza pengine familia imeponzwa na ile mikatuni yake anayorusha kutwa kuchwa mitandaoni kumkashfu Rais wa mioyo ya Watanganyika Mheshimiwa saaana Dr.JJP Magufuli.
hivi dogo jembe ndo nani? ngoja nimtafte mentor
Hawa watendaji wa serikali wanahitaji maombi!si umeona mbwembwe za makontena yaliyokamatwa Tegeta....hivi inakuwaje kama ana legally documents zote za kiwanja?inabidi serikali iwajibike
Imejengwa juu ya bomba LA mafuta LA TAZAMA no lazima ibomorewe tu
Imejengwa juu ya bomba LA mafuta LA TAZAMA no lazima ibomorewe tu
Ndio maana hii nchi haiendelei. Wachawi kila kona, Mtu unaweza ukadhani wachawi ni wale wanaoruka na ungo usiku, kumbe wengine wanatembelea Kilimo kwanza. Unaanzaje kubomoa jengo kama hilo. Kwani wao walikuwa wapi tangu msingi unaanza kuchimbwa?
Acha siasa wewe! Watanzania lazima walazimishwe kufuata sheria ndipo maendeleo yatakuja. Enzi za pesa kuongea kwisha. Kutekeleza sheria Ubabe unatakiwa sio kuleta s?asa. Livunje ili wengine wajifunze. Hizi sio enzi za ser?kali kuogopa wanyepesa.Hii serikali ya awamu ya 5 tusipokuwa makini itakuwa ya kibabe na kikatili sn!
Busara zinahitajika kwa suala la kujenga juu ya Bomba la Mafuta (Tazama) na eneo la wazi.
Mf. Kuna kuhamisha bomba kwa gharama za mjenzi au kujenga Handaki ardhini kwa ajili ya repair and Maintenance.
Ujinga mwingine wa serikali tusishabikie hovyo hovyo, walikuwa wapi wakati anajenga?
Mbona mnatetea ufisadi!!! Naamini mwenye hiyo hoteli alipata kiwanja kiujanjaujanja na inawezekana pia hana kibali cha ujenzi wa Hoteli ya aina hiyo kwa sehemu kama hiyo, kwa wale wanaoijua vizuri Msamvu ya Morogoro. Imekula kwake ba watu wa aina hiyo.
Tuwe makini kuweka "assets" za kudumu kwenye maeneo yasiyo na uhakika.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Hoteli ni ya jitu la TRA lakini limeijenga miaka mingi yawezekana limedunduliza
Kabisa hakuna namna itabidi livunjwe tu.Inauma nipo Moro nikiliona tu naumia ila hakuna namna
Hakuna harufu ya kisiasa ktk hili? Yasemekana hiyo hotel ni ya mwana-UKAWA.
Mwenye uhakika atujuze.
Huyo mmriki nae boya tu atafanyaje uwekezaji mkubwa namna hii bila kufanya upembuzi yakinifu? hotel kubwa namna ile unaijenga juu ya bomba la mafuta?? no wonder pesa ya uwekezaji huo itakuwa ni dirtyMONEY
walitaka ijengwe mafichoni?
Kwa hyo we unapendekeza tuendelee kuishi kienyejienyeji? Nyie ndo mlinufaika na system ya kifisadi. Libomolewe iwe funzo kwa majinga na majizi yoteSheria huwa zinafuatwa vizuri kwenye nchi zenye mipango, huwez kubomoa mali za watu kwenye nchi ambayo asilimia 80 haijapimwa, bongo hata leo hii ukinunua kiwanja mwaka kesho utaambiwa ni eneo la makaburi
Hapana Mkuu Ni Ya Mzee MATHROPE 100% Amini Haya Niyasemayo.