Hotel/guest za bei nafuu Kampala

lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
4,450
2,000
Galaxy wapo poa. Ex rate nzuri ipo mpakani .
we upo wapi.
Kama ni kanda ya ziwa ,ela tunaacha kwa Hadija Mwanza , kisha tunasafiri free , ukifika kap city unachukua mzigo wako.
Oy fafanua vizuri huyo HADIJA siyo yule mwenye undugu na FATUMA mvunja milango ya nyumba za watu usiku
 

Ntwa A. Katule

Verified Member
Jan 4, 2017
231
250
Siku hizi kuna Air BnB kila mahali. Jaribu kujisajili kwenye huu mtandao, unaweza kupata mahali pazuri pa kukaa nchi yoyote duniani
 

kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
2,456
2,000
Kuna ofisi zinazodili na Pesa, Unakabidhi Pesa ya Kitz nchini TZ, Kisha unapewa receipt, Then utaikuta hela yako uganda au ukifika uganda unanunua mzigo kisha wao , wanaenda kwa hadija wa uganda kulipwa hela zao ,ulizoziweka wewe Tanzania. Tunafanya hivi kuepusha watu kutekwa na kupoteza mitaji yao.
ni ubunifu mkubwa, hongereni. Unaondoa gharama za kutoa pesa eg kutoka kwenye simu au bank.
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,047
2,000
UGANDA HAMNA WIZI
WEKA TIGOPESA AMA.MPESA UNATOA KADRI UNAVYOTUMIA RTE NZURI KABISA
 

Mbolabilika

JF-Expert Member
Jul 30, 2019
921
1,000
Pia hii stail kwa yeyote mkaz au mzawa wa Dar cjui Kama atakubali kufanya huu upuuzi maana ukiishi Dar lazima uathirike kissikolojia utajua ndo ilee bongo Dar es salaam
Hiyo staili ya kwa Khadija imenipa tafakuri ya aina yake. Ninadhani uliyeidokeza ungepoteza muda wako kidogo uiweke sawa zaidi. Ninakiri kuwa umeiongea lakin kwakweli umegusia tu. Bado sijakupata hapo miamala inavyofanyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,047
2,000
JF AIKOSI VITUKO WALLAHI

MMADA LODGE ZA BEI RAHISI PG ZOTE HADIJA VS TIGONYESA KHA MUANZISHE AMA MFUTE HIOO KICHWAYAHABARI
 

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,774
2,000
Mkuu Mtafiti77 nilichokielewa mm ni kuwa kama wewe ni mfanyabiashara na unaenda Uganda kufunga mzigo basi kwa usalama wako fedha yako ni bora ukaiweka Bank kwa Hadija, bila shaka yeye anachukua commission yake kidogo, ila wewe ukifika Uganda unaenda dukani ama sehemu maalumu ku withdraw hela yako. Hii inakuweka safe na hasa ukiwa njiani na magari kutwekwa ama kuporwa na vibaka ukiwa safarini ambapo kesi ni nyingi
Unaokoa kupora hela,mzigo hauporwi?
 

Bugucha

Senior Member
Apr 14, 2020
162
250
Kwa wenyeji wa Uganda,nataka kuja kufuata mzigo wa biashara ya nguo huko Uganda, je.
1Maduka gani huko ni mazuri,na yako maeneo gani hapo kampala?
2.Guest IPI,au Hotel ipi ambayo ni safe and affordable?
3.Ushuru mpakani,inakuaje?
Thanks!
 

No signal

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
592
1,000
Wazee Uganda vp bado kunaendeka na hii covid 19? Hakuna shida tena pale mpakani? Khs biashara vp bado zinaendelea au wapo lockdown?
 
Top Bottom