Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,842
- 2,272
Oy fafanua vizuri huyo HADIJA siyo yule mwenye undugu na FATUMA mvunja milango ya nyumba za watu usikuGalaxy wapo poa. Ex rate nzuri ipo mpakani .
we upo wapi.
Kama ni kanda ya ziwa ,ela tunaacha kwa Hadija Mwanza , kisha tunasafiri free , ukifika kap city unachukua mzigo wako.
Tena usikute huyo HADIJA ni ndugu yake FATUMA lazima ulizweAsante sana, hivyo, hiyo kuacha hela kwa Hadija sitotumia.
Tena usikute huyo HADIJA ni ndugu yake FATUMA lazima ulizwe
ni ubunifu mkubwa, hongereni. Unaondoa gharama za kutoa pesa eg kutoka kwenye simu au bank.Kuna ofisi zinazodili na Pesa, Unakabidhi Pesa ya Kitz nchini TZ, Kisha unapewa receipt, Then utaikuta hela yako uganda au ukifika uganda unanunua mzigo kisha wao , wanaenda kwa hadija wa uganda kulipwa hela zao ,ulizoziweka wewe Tanzania. Tunafanya hivi kuepusha watu kutekwa na kupoteza mitaji yao.
Hiyo staili ya kwa Khadija imenipa tafakuri ya aina yake. Ninadhani uliyeidokeza ungepoteza muda wako kidogo uiweke sawa zaidi. Ninakiri kuwa umeiongea lakin kwakweli umegusia tu. Bado sijakupata hapo miamala inavyofanyika.
Unaokoa kupora hela,mzigo hauporwi?Mkuu Mtafiti77 nilichokielewa mm ni kuwa kama wewe ni mfanyabiashara na unaenda Uganda kufunga mzigo basi kwa usalama wako fedha yako ni bora ukaiweka Bank kwa Hadija, bila shaka yeye anachukua commission yake kidogo, ila wewe ukifika Uganda unaenda dukani ama sehemu maalumu ku withdraw hela yako. Hii inakuweka safe na hasa ukiwa njiani na magari kutwekwa ama kuporwa na vibaka ukiwa safarini ambapo kesi ni nyingi
kama hawajaongeza nadhani ni sh 40,000/=TshHivi nauli kutoka mwanza-kampala ni ngapi?