Business plan and proposal of simple Hotel

jaomjazymee

New Member
Nov 25, 2022
3
0
Habari za muda huu wadau.
Pole kwa majukumu

Niko hapa naomba ushauri kuhusu biashara ya min Hotel.

ningependa kujua kuhusu;

-jinsi ya kuandika business plan na proposal
-location kwa mkoa wa dar
- mtaji kiasi gani kwanzia kiwanja, kujenga, na all necessary equipments.
-risk zitokanazo na hiyo biashara
- faida kwa siku/mwezi/ mwaka
-ushindani wa soko upoje
-kodi ya vibali vya serikalini
-vitu vipebdelewavyo katika hotel
-uhaba wa huduma kwenye hotels ni zipi
- etc
 
Niko kahama naomba 500,000/- nikuandalie classic kwa mwezi mmoja tu njoo WhatsApp namba +255755846814
 
Back
Top Bottom