Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Ukiona Mwanamme anakuomba TIGO

-Hakupendi
-Hakuheshimu
-Anakuona unajiuza
-Hana mpango naww
-Anakuchukua just for his own pleasure

Kwaufupi ,ukiona anakuletea hizo habar , Kemea hapo hapo ,akishindwa kukuelewa PIGA CHINI !!.
Na ukiona wanamke anakwambia umle tigo?
 
Duuh. Aiseeee! Haya bana.

Ila nikwambie tu emmy hajawahi kutaka mazowea na wewe na hataki mazowea na wewe. Hivyo jitahidi kumuheshimu.

Hivyo usipende kumuharibia siku hakujui humjui. Na leo sio mara ya kwanza.
Umeshaacha?
 
Na ukiona wanamke anakwambia umle tigo?
Ujue huyo mwanamke

-Hajielewi
-Anawaza ngono tu
-ni Pumbavu

Kwaufupi mwanamke wahivyo haifai kabisaa ,nakam unampenda ni kuhakikisha unafanya akufae ,nakm humpendi ni wakuachana naye .

Simply niivi ,kula Tigo au kutoa Tigo ni Upumbavu na Hamna mahusiano thabiti kwa watu wanaofanya uo upumbavu !!.
 
Ivi ukijiheshimu na ukawa mtu mwenye misimamo thabiti mwanaume anaanzaje kukuomba tigo.mi mwanaume haezi thubutu niomba na wala atokaa atokee wa kuniomba otherwise awe nusutimamu
 
Kuna mambo inabidi yakupite tu acha huonekane mshamba kuliko kumfanya mtu kinyume na maumbile leo unamtia dem tigo ndo hao kesho unamtamn na shoga haya mambo yanaanzia mbali sana!!mim ntadeal na k tu!!
 
Wanadamu tuna roho ngumu sana tangu enzi hadi sasa.

Hatujui kujifunza kwa waliotangulia(Sodoma + Gomora) na matokeo yake!!
Kweli historia inajirudia!!!

Sasa, mtandao huu umepewa nafasi kubwa sana kwenye 6*6.

Wanadamu tunaliona jambo la kawaida tu,
Si jambo la kheri kwa Mungu wetu, na naamini maraika wa adhabu anaandaa kipigo juu ya wahusika.

Kila mtu atubu kwa nafasi yake na nafsi yake maana hali si shwari kabisa.
 
Back
Top Bottom