Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho

cc kwa serikali
Ombi kwa serikali yetu, kuna haja ya kufanya kampeni juu ya jambo hili, vijana wa kike na wa kiume wanapaswa kujulishwa madhara yake, wanapaswa wajitambue.
Hahahahaa serikali ikianza kupinga ndo imehamasisha
 
Huko nyuma wanawake wameweka kama kitega uchumi Chao anakuweka wazi kabisa nyuma bei ni Kubwa sasa wanaume tufanyeje wape somo kwa kwanza wanawake wenzako wajirekebishe
 
Kuna manzi mmoja juzi wakati wa style ya mbuzi kagoma kwenda alikamata dushe langu na kuanza kulazimisha kuingiza kwenye tigo yaani nilipanic na nilimtimua kwangu saa sita ya usiku sijui hata alienda kulala wapi!!
 
Cha msingi tuwe na hofu ya Mungu. Kwa wanawake acheni kuhang na marafiki wabaya marafiki kucha kutwa kwenye mafunzo sijui ya ukungwi mara magroup ya kufundana mnafundana nini zaidi ya kbubeba huko mambo ya kijinga? Halafu hivi kweli ukiwa na msimamo kuna mtu atakulazimisha? Au ndo unadhani utakuoa kwa kumpa sehemu isiyohusik? Noo big Noo huko ni kuleta laana itakayo tafuna kizazi chako. Na kwa nyie wanaume acheni basi kuwafanyia wanawake zenu hao ni kama dada zenu au mama zenu nao wakifanyiwa hivy. Wote kwa pamoja tupinge kwa nguvu zote hilo pepo kwa maombi na kuea karibu na Mungu wetu.
 
Bora we umepata maneno ya busara, mi kanikera nikafura hasira hadi nikakosa cha kuandika

cc emmyta
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Nadhani ulijuta kumquote.

Achana naye na pia pole sana kwa kushikwa na hasira. Naamini kwa maneno ya busara kutoka kwa dada yangu hasira zako zimepungua au kuisha kabisa.
 
Ambacho sielewi ni how do people deal with harufu ya na mavi yenyewe jmn... Sielewi kabisaaa...
Dahh vingine acha nibaki na ushamba wangu...ukiitaka sana kanunue nje
 
Kuna manzi mmoja juzi wakati wa style ya mbuzi kagoma kwenda alikamata dushe langu na kuanza kulazimisha kuingiza kwenye tigo yaani nilipanic na nilimtimua kwangu saa sita ya usiku sijui hata alienda kulala wapi!!
wewe huyo?????
 
Back
Top Bottom