Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

Sio kosa lako ni kosa la mfumo, yani hata unachochangia hukijui na hili ndio tatizo la ccm, kuna wakati huwa nawaza kimyakimya kuwa hivi kuwa mwanaccm ni kuwa mpumbavu? Action speak louder than words

Tatizo umeishiwa kabisa hoja mkuu.. bavicha mna matatizo sana. punguzeni viroba
 
Biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kama wewe unavyoangamia kwa kukosa akili na utashi chadema hatuna udini wala ukabila labda huku kwenu ccm

Sasa kwanini mnatelekeza wajane?
 
Tatizo umeishiwa kabisa hoja mkuu.. bavicha mna matatizo sana. punguzeni viroba

Jaribu kulinganisha jibu langu na lako utagundua kuwa una majibu mepesi kwenye hoja nzito, bado nasisitiza kuwa sio kosa lako ni kosa la mfumo, ambapo CHADEMA wana ufumbuzi wote
 
Jaribu kulinganisha jibu langu na lako utagundua kuwa una majibu mepesi kwenye hoja nzito, bado nasisitiza kuwa sio kosa lako ni kosa la mfumo, ambapo CHADEMA wana ufumbuzi wote

majibu yako ni rojorojo sana..sio kosa lako ni kosa la chadema kushikilia akili zako
 
kipengele cha ukomo wa uongozi mbowe alikiondoa kinyemela.. Chadema mmiliki wake ni Mtei na msimamizi wake ni mkwe wake Mbowe..

Nimekuleza jitahidi kujikita katika mada lakini umeshindwa na unakimbilia tu shutuma zisizo na ushahidi ,ni kama unataka watu humu waamini au wakubaliane na mawazo yako uliyoshindwa kuyathibitisha.Nimestuka nnalumbana kwa hoja na mtu asikuwa na hoja bali viroja.
 
wewe sasa hapa ndio umetoa hoja gani? acha kujitoa akili
 
bangi zimejaa store ya makao makuu ya chadema ufipa.. nasikia kila siku asubuhi kabla ya kuanza kazi lazima mpulize bangi

Usiwe mtu wa kusikia ndugu yangu wala usiwe kama machangudoa was magomeni una ushahidi kuhusu hili unalolisema? Unajaribu kwa nguvu nyingi sana kututoa kwenye topic, hospital ya mwananyamala si ya CHADEMA wala chama chochote cha siasa, CHADEMA wameenda pale kufanya huduma za kijamii kitu ambacho ni chema, hakukuwa na mbwembwe wala nini, Mimi nina mgonjwa pale hata hao CHADEMA hawanifahamu ila naipenda CHADEMA na nimevutiwa na walichokifanya na ndio maana nikaleta mada hii hapa jukwaani
USITUPOTOSHE PIMBI WEWE
 
bangi zimejaa store ya makao makuu ya chadema ufipa.. nasikia kila siku asubuhi kabla ya kuanza kazi lazima mpulize bangi
Umeishiwa hoja nenda kaandalie chakula mezani mumeo anakaribia kurudi
 
Back
Top Bottom