Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

hivi hujui chadema wanapewa ruzuku ambazo ni.kodi zetu watanzania?

1413124605489.jpg
 
mada yenyewe umeileta kiumbea mbea..

Na wewe unachangia kiumbeaumbea.... Unajua kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo, isikuumize CHADEMA kwenda mwananyamala kufanya kazi za kijamii, wala usijisikie vibaya mimi kuleta hii mada hapa...Jipange uwe na mchango wenye tija utakaokinusuru chama chako na msururu wa kashfa
 
Na wewe kakinusuru chama chako dhidi ya ufisadi wa kula pesa za ruzuku dubai na mahawara na kujikopesha pesa za ruzuku kwa viongozi wako wakuu.
 
laki si pesa na fedha zetu za ESCROW ACCT Tshs 200,000,000,000/" (Two hundred billion, Tshs)
waluzochukua mchana kweupe wanazirudisha lini.???
Wezi wakubwa MaCCM!!
 
Last edited by a moderator:
laki si pesa na fedha zetu za ESCROW ACCT Tshs 200,000,000,000/" (Two hundred billion, Tshs)
waluzochukua mchana kweupe wanazirudisha lini.???
Wezi wakubwa MaCCM!!

Usipoteze muda wako kumuuliza hilo swali hana anachojua sanasana atakuja na matusi tuu
 
Last edited by a moderator:
laki si pesa na fedha zetu za ESCROW ACCT Tshs 200,000,000,000/" (Two hundred billion, Tshs)
waluzochukua mchana kweupe wanazirudisha lini.???
Wezi wakubwa MaCCM!!

Hizo pesa zimeshatolewa ufafanuzi.. Hakuna ufisadi wowote hapo.. Hivi mkuu una habari IPTL/ PAP watashusha gharama za umeme kuanzia mwakani?
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa vizuri kama ungefungua Uzi wako kuhusu hayo unayosema...hapa mada ni kuhusu makamanda kutoa maaada mwananyamala hospital.

mkuu. Nawakumbusha tu Chadema kuwa na wale wahanga wa mabomu ya soweto wanahitaji msaada
 
Back
Top Bottom