Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

Hapo ndipo ulipologewa! unaimbishwa nyimbo za kipumbavu na wewe kama zuzu unaimba kwa sauti kubwaaaa!!!! halafu unajitangaza kwamba na wewe ni Great Thinker! Si kushangai sana kwani hiyo ndio ajira mliyopewa na vicheche wasiofikiria!

mimi ni mzalendo., sijaajiriwa na mtu yoyote
 
Nilikuwa mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CDM, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa
Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital
Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia...misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU

VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!

2015 ileee waambie hapo bado labda watubebe mabegani kabisa
 
Nilikuwa Mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CHADEMA, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa.

Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital.

Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia.

Misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU.

VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!

MKUU TULISHASEMA TANGU kitambo HAPAHAPA KWAMBA CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU , NADHANI SASA WATU WAMEELEWA .
 
1413142750950.jpg
 
Back
Top Bottom