Usiwe mtu wa kusikia ndugu yangu wala usiwe kama machangudoa was magomeni una ushahidi kuhusu hili unalolisema? Unajaribu kwa nguvu nyingi sana kututoa kwenye topic, hospital ya mwananyamala si ya CHADEMA wala chama chochote cha siasa, CHADEMA wameenda pale kufanya huduma za kijamii kitu ambacho ni chema, hakukuwa na mbwembwe wala nini, Mimi nina mgonjwa pale hata hao CHADEMA hawanifahamu ila naipenda CHADEMA na nimevutiwa na walichokifanya na ndio maana nikaleta mada hii hapa jukwaani
USITUPOTOSHE PIMBI WEWE
Mbona watu wengi wanatoa msaada hawajitangazi kama Chadema? KIAZI WEWE