Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

Attachments

  • 1413128281926.jpg
    1413128281926.jpg
    71.4 KB · Views: 212
Huna lolote unatapa tapa tu huku jukwaani ,hata jambo jema kwako ni baya huna hata shukrani
 
Chama chochote cha siasa kimesajiliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ,sharti mojawapo ni demokrasia ndani vyama hivyo sasa unaposema Chadema wamechakachua katiba ili mheshimiwa Mbowe aendelee kubaki madarakani huo ni uongo na upotoshaji.Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wazi unaweza kwenda kutoa taarifa huko hatua zikachukuliwa ila unapotoa shutuma hapa mtandaoni tunakuona kama mjinga tu.
 
Laki sipesa siku zote ni mjinga anahitaji arudi shule, otherwise ni njaa
 
Chama chochote cha siasa kimesajiliwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ,sharti mojawapo ni demokrasia ndani vyama hivyo sasa unaposema Chadema wamechakachua katiba ili mheshimiwa Mbowe aendelee kubaki madarakani huo ni uongo na upotoshaji.Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wazi unaweza kwenda kutoa taarifa huko hatua zikachukuliwa ila unapotoa shutuma hapa mtandaoni tunakuona kama mjinga tu.

kipengele cha ukomo wa uongozi mbowe alikiondoa kinyemela.. Chadema mmiliki wake ni Mtei na msimamizi wake ni mkwe wake Mbowe..
 
Back
Top Bottom