Hongereni CHADEMA

Hongereni CHADEMA

Weka Picha siyo blaablaa hapa ati wametoa msaada thibitisha pasi na Shaka kwa kuweka Picha. Habari za kutunga tunga Hazina nafasi hapa!

JF is the place where we dare to speak the truth with evidence na siyo hongera Kamanda kwa kutoa million Moja kwa kikundi cha wavuja jasho Misungwi bila facts!

Kama huna evidence JF hapakufai!
 
Nilikuwa Mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CHADEMA, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa.

Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital.

Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia.

Misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU.

VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!

Big up CHADEMA.

Hii inaendelea kudhihirisha kuwa CHADEMA ni chama makini na kimejiandaa kuchukua Mamlaka ya nchi hii. It's just a matter of time. Time gonna tell.

Once again Big up.
 
Weka Picha siyo blaablaa hapa ati wametoa msaada thibitisha pasi na Shaka kwa kuweka Picha. Habari za kutunga tunga Hazina nafasi hapa!

JF is the place where we dare to speak the truth with evidence na siyo hongera Kamanda kwa kutoa million Moja kwa kikundi cha wavuja jasho Misungwi bila facts!

Kama huna evidence JF hapakufai!
Don't show your stupidity to that much extent
View attachment 192870
 
Back
Top Bottom