ferre.g
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 2,215
- 329
siri ya mtungi aijuae kata.... Wewe njoo uchezee biki kwangu mkuu bed lipombona wale wahanga na wajane wa mabomu soweto arusha wamewatelekeza?
siri ya mtungi aijuae kata.... Wewe njoo uchezee biki kwangu mkuu bed lipombona wale wahanga na wajane wa mabomu soweto arusha wamewatelekeza?
njooni mtukamate wakuda ninyi.... Tembo wetu vipi?bangi zimejaa store ya makao makuu ya chadema ufipa.. nasikia kila siku asubuhi kabla ya kuanza kazi lazima mpulize bangi
Waache unafiki. Hakuna mtu anataka msaada wa shetani.
Lakini malaika wameupokea
Anzisha mada yako kuhusu hilo, hii ni ya kuwapongeza kuhusu kazi ya leo mwananyamala hospital
Chadema akili zao hazija lala kama za kwakobora zaidi kuliko maandamano yasio na mbele wala nyuma
Chadema akili zao hazija lala kama za kwako
Tuliyeni dawa iwaingiye cheza mbali sana na watu wenye akili A, B, C wale siyo ccm mafisadi wenye f+f=6/3=kapuya +chenge=deo sanga aka sssnge aliyekuwa anakata mauno bunge ambaye ni baba yko
mke wa chacha wangwe. mwangosi chadema wamewatelekeza bila msaada wowote