Nilikuwa mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CDM, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa
Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital
Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia...misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU
VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!
Safii sana chama dume