Hongera Zamaradi...! Lakini....!!!

Alaah!!Kumbe huyu ndo Zamradii anayegombaniwa na wanaume wengi vibopa khaa Anabahati Sijui Anachambia Asali akienda choon. Subir hii drama iendelee
 
Da mapenzi haya nasikia jamaa analia usiku na mchana kwa kuachwa na mtoto mzuri..
Simlaumu kulia but namlaum Ruge kwann amekubali kumpoteza, mi ni moja ya watu ninaomkubali zamaradi ni mzuri kwa sura lkn ni wife material kwa kwl,huyo jamaa aliempata kwl anabahati......
 
Sipendi kuchunguza kujua kazi yake lkn kama ni kweli mtu wa kitengo.....basi ndoa hiyo inalo jambo ambalo hata muolewaji halijui.

Yote tisa lkn kumi " Mungu awajalie AMANI ya ndoa"
Ina nini mkuu? Hebu kunjua jalada
 
Kwa hii comment yako inabidi naamini ile research isiyo rasmi kuwa "UKITOA PESA KWENYE MAHUSIANO YA MAPENZI, 90% YA WANAWAKE WATAONA HAKUNA UMUHIMU WA KUWA NA MPENZI"
Umeonyesha jinsi pesa zinavyokuingiza kwenye love affairs na siyo kumpenda mtu.


hapana hujanielewa kbs yaan mie ukiongelea pesa kwenye mapenzi nitoe kbs huko mimi !namanisha hv umeingia ndoan na mkaka mdg ambaye hana mtoto anaonekana kbs hana experience za maisha hv wewe nan kakudanganya mwanamke lazima aolewe !mie kukua kwangu koote sikua nimewah waza kuolewa ! ndio mnaweza kusema kuolewa kuna umuhim lakini angalia unaolewa na nan ! mie nimekutana na mume wangu hana hata 2000 wote wanafunzi tena ht mkopo anao 40% yaan usiniambie kbs habar za pesa na mapenzi !
 

Wewe umenena.

Nikionacho hapa ni mambo mawili

1. Things fall apart......yamemshida mwanamama

2. No longer at easy..... Kwa huyo mshua mpya atakuwa nawakati mgum kupita kiasi

Yote tuyatazame......mapenzi hayafanyiwi

Matangazo
Show
Kukomoa au kumkomoa
Kudhalisha au kudhalilishwa
Kunyosha au nimuoneshe mimi ninani nk

Yoote yanaashiria hakuna ndoa hapo ni maigizo
 


Mkuu hiyo inayozungumzwa ni sherehe ya ndoa na sio ndoa. Ndoa ni hali ya kujikubali kila mtu kwa mwenzake bila kujibakisha. Ni Hali mwanaume na mwanamke kila mtu mmoja kusanua madhaifu na mema ya kila mmoja kwa mwenzake. Ikiwa unadai umefunga ndoa na bado mmoja hataki dunia imuone mwenzake sawa sawa, basi huo unakuwa ni mradi wa mashindano.Mashindano ya "usinibabaishe" kwa kuwa wanaume wapo wengi na sio kwamba ni wewe pekee duniani. Mashindano ya kwamba hata nikiachika huko mbeleni lakini nilikwisha "kutoa gundu" kwa kuolewa.

Shida imeingia Afrika.Shida ya kugeuza ndoa kuwa sherehe na tena sherehe za watu waone fulani kafanya hivi au vile.Sherehe za kukimbilia kupiga picha ili kupost instagram, Facebook au WhatsApp ili watu wa-comment. Watu wamekuwa busy kuelekeza akili zaidi katika kupata picha nzuri za kuposti kuliko akili za namna ya ku-handle hayo yatokanayo na tendo la sherehe.

Huyo binti yuko katika tatizo kubwa la kisaikomatiki. Wataalamu wa kisaikolojia naomba Wamsaidie vinginevyo muda si mrefu tutaanza kusikia familia yake ikihangaika naye kwa waganga wa "majini".
 
Well said brother. It's a naked truth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…