Duu kuna voice note?Basically wanawake wengi wapo hivyo okay fine umeolewa na mtu sasa hili la kuvujisha voice note for the whole world to know was it that necessary ,let assume wewe ndio ruge unampigia mtu ambaye umempa all your trust because you believe in her and you breakdown and begin to cry for her love and regret for everything na sio pombo ruge alikuwa katika the weakest point as man na hii ni rare situation maana unachoongea sio brain yako Bali ni sub conscious mind ambao ni vigumu sana MTU kutoa vitu huko lakini mtu anaudhubutu wa kukurecord sasa ili iweje for Christ sake ,for what nilijua ni siri naongea na x wangu ila una moyo Wa ajabu huyu mwanamke so maumivu yangu unayafurahia mpaka unayarecord
Sipendi kuchunguza kujua kazi yake lkn kama ni kweli mtu wa kitengo.....basi ndoa hiyo inalo jambo ambalo hata muolewaji halijui.Huyu mwamba kama mtu wa usalama kabisa, wanakuwaga na mikato flani huwezi ng'amua af kwa sura lazma anatokea moro au dom huyu.
mmanyemaZAMARADI NI KABILA GAN? MANA KUNA MAKABILA YANA SIFA YA MADEMU WEPESI.
HALAFU HAIKUWA BUSARA KUMREKODI RUGE NA KUMWAGA UBUYU, KWAN ALIKUWA ANAOMBA RUSHWA? AACHE USHAMBA ZAMARAD KWA BOSI ANAYEMLIPA MSHAHARA. ASIJFANYE KUSAHAU ALVYOKUWA ANAINAMA KWENYE KIT CHA BOS, AHAH
Utumishi kwa Kairuki huyu huyu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kazi yake inahusika vp hapa. Ndio kashachukua jiko mazima mambo ya kazi peleka utumishi
Hahaaaaaaaaaaa kwenye tope mkuu kamtoeUmekwama wapi? Nataka nikusaidie uje huku nlipo! Mi nimepitia njia zile zile!
ishapigwa kune leo tenaXxl nataman wapige nyimbo ya chege ft mond waache waoane
HahahahaaaaaaImani yake inamwambia ndoa ni pingu na funguo imetupwa mkurugenzi huruhusiwi kuifungua mpaka mmoja adedi mkono ukatwe natania tu ndoa mbona easy tu
TakbirHaijalishi hata kama amezaa na Mgalatia/Kafir kama mimi watoto wawili
Ila Alhamdulillah... leo hii ameolewa na Muumini'n Shabaab kabisa.
Wabillah Tawfiq,
Duu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Haijalishi hata kama amezaa na Mgalatia/Kafir kama mimi watoto wawili
Ila Alhamdulillah... leo hii ameolewa na Muumini'n Shabaab kabisa.
Wabillah Tawfiq,
.... Yamethibitisha machoooo lakini moyo umekaaa....
hi ni point ume summarize the whole thingBasically wanawake wengi wapo hivyo okay fine umeolewa na mtu sasa hili la kuvujisha voice note for the whole world to know was it that necessary ,let assume wewe ndio ruge unampigia mtu ambaye umempa all your trust because you believe in her and you breakdown and begin to cry for her love and regret for everything na sio pombo ruge alikuwa katika the weakest point as man na hii ni rare situation maana unachoongea sio brain yako Bali ni sub conscious mind ambao ni vigumu sana MTU kutoa vitu huko lakini mtu anaudhubutu wa kukurecord sasa ili iweje for Christ sake ,for what nilijua ni siri naongea na x wangu ila una moyo Wa ajabu huyu mwanamke so maumivu yangu unayafurahia mpaka unayarecord
Nasikia kairuki ana kibendi cha mr mniombee sijui kweli!!!!!????Utumishi kwa Kairuki huyu huyu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha aisee umenichekesha sana, how this possible?Mkuu niko hapa najaribu kutoka nje ya mwili lakini nashindwa...nimefuata masharti yote.Nataka kwenda Marekani