robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Striker wa Simba, aliuzwa Marseilles ya French akachukua uraia wa Cuba, kwa anachezea Mecco ya Mbeya!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]aaaaa! Ama kweli[emoji2]kazi yake inahusika vp hapa. Ndio kashachukua jiko mazima mambo ya kazi peleka utumishi
ndo yule mission town?Hivi huyo kaka anafanyakazi gani????
Nimeshindwa kuelewa kwa kweli
Siku zote Malaya ni wanafiki sana, Rughe analia unafiki mtupu maana kama nafasi ya kumuoa Zamaradi alikua nayo lakini aliichezea we mpaka Juju kawa kibaba cha haja na bado hakuona umuhimu wa kumuoa mama watoto wake?! Ni ajabu anavyojiliza liza ili aonekane hana hatia na kupata huruma ya wajingaDa mapenzi haya nasikia jamaa analia usiku na mchana kwa kuachwa na mtoto mzuri..
Chinga Hilo ana sura ya kazi,Hafananii kabisa na status ya mishentown ni kama mkata nyasi hivi mgogo flani wa ndyuka!!
Mbabe wa Ruge...
Kwa hio aliefaulu ni Ruge auu...hii ishu wanaume mkubali yaishee..ni zaidi ya mnyooshoWanasema hakuna madhara makubwa kama mwanamke kukosa akili. Kujihusisha kimapenzi na bosi wako tena mwenye sifa ya uhuni na kuyaanika mahusiano yenu mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kuzaa watoto wawili na mwanaume ambaye hajakuoa, halafu ukamuacha kwenda kwingine na ukaanika tena mtandaoni ni ufinyu wa fikra. Kubwa kuliko yote ni kushiriki kuchafua jina la mzazi mwenzio, ambaye bado ni sehemu kubwa ya maisha ya watoto wenu na yako kwa ujumla. Watoto wao watakuwa na kukumbushwa yote haya kupitia mitandao. Zamaradi amefeli sana.
You never know what happened between themHapana huyu Zama hajafanya kitu kizuri hata kidogo na hii ni definition ya wanawake wasio kuwa na huruma staha usiri ila roho iliyojaaa ujuaji umimi kujiona na kusahau alipotolewa INA maana wema woteee mapenziii yoooote historia yooote mpaka mnapata watoto wawili haya yalikuwa zaidi ya mapenzi ya kawaida zaidi ya ndoa it all sudden it end to this
Imani yake inamwambia ndoa ni pingu na funguo imetupwa mkurugenzi huruhusiwi kuifungua mpaka mmoja adedi mkono ukatwe natania tu ndoa mbona easy tuNdoa kwa imani ya kislam ni kitu chepesii tena mnaweza msikae nyumba moja mkakutana tu kwa tendo na bado mkawa wanandoa. Tatizo kwa imani Yako ndoa Inaonekana ngumu kutokana nikufa na kuzikana
Kwa hii comment yako inabidi naamini ile research isiyo rasmi kuwa "UKITOA PESA KWENYE MAHUSIANO YA MAPENZI, 90% YA WANAWAKE WATAONA HAKUNA UMUHIMU WA KUWA NA MPENZI"duh kweli naamini tumetofautiana hata kufikiri ! jaman neno ndoa limebeba mambo mengi mno mno !mayb waishi kisela tu wasizae nk nk ! sijui y watu wnakimbiliaga kuolewa !hiv wewe una watt wawili una maisha yako uanweza wasomesha wanao fresh suala la kuolewa unaolewa ili iwaje jaman !mhhh hapana aiseee tena unaolewa na serengeti boy uwiii atalia dabo !bora angeng'atuka tu akawa anaishi singo mama!sijui lakini uhenga unanijia vby mie
Kwa hio aliefaulu ni Ruge auu...hii ishu wanaume mkubali yaishee..ni zaidi ya mnyoosho