Uzinzi wa miaka nenda rudi na umalaya mnaona sawa sio???mtasema yote ila kiboko ya Ruge ZamaradiHahahahah noma,
Eti hapo ndio mtoto kafika bei lakini, wanawake wanakuaga desperate sana hasa kama alikuwa na ndoto za kuolewa halafu ni single mom tayari..Hata ukimwambia ajilipie mahari mtangaze ndoa yeye yupo tayari kwa hilo. Mradi aonekane nae katoa gundu yani ha ha ha...mambo kama haya yanatia moyo sana kuwa huko tuendapo kukosa mke itakuwa ni swala la kujitakia tu.
Imehamia kusini, tuachen wanyalukolo tuenjoy walau tupunguze na stres za kujitundika
Ndio, au umegundua Kali zaidiIle ile au?
Watu wafukunyuzi sana mbabe wa Rg huyu hapaView attachment 600206
Nasikia ana uwezo mkubwa sana wa kuendesha magari ya mizigo na abiriaHivi huyo kaka anafanyakazi gani????
Nimeshindwa kuelewa kwa kweli
Hivi huyo kaka anafanyakazi gani????
Nimeshindwa kuelewa kwa kweli
Huyu mwamba kama mtu wa usalama kabisa, wanakuwaga na mikato flani huwezi ng'amua af kwa sura lazma anatokea moro au dom huyu.
Striker wa Simba, aliuzwa Marseilles ya French akachukua uraia wa Cuba, kwa anachezea Mecco ya Mbeya!Kwan zama-radi ninan naonaga kama anajina kubwa ila simfahamu
Hii ndoa kama ya Kajala baada ya kumwagana na P Funk
Leo watoto wadogo wakina Quick Raka na County Boy wanajipigia [emoji23]