Hongera ufoo saro

Hongera ufoo saro

Ufoo lilikua ni jasusi pandikizi tena lenye mafunzo ya hali ya juu pale itv.

Mwanaume katoka kongo kupigana na waasi, aje ashindwe kumuangusha ufoo, tena akiwa na bunduki.

Mjeshi alijichanganya kwa komando, badala ya kutanguliza, akatangulizwa yeye.

sasa hivi ulikute kimetulia sehemu kimesha anza kuzeeka kinakula pensheni.

Hivi hamjawahi kujiuliza kwa nini waandishi wa itv au waliopitia itv baadae walikua wanakuja kula mashavu kiboya boya tu.

Kile kilikua ni chombo cha propaganda na walifanikiwa sana kazi yao.

Heshima nyingi zikufikie double G.
 
Back
Top Bottom