Hongera Multichoice Tanzania

Hongera Multichoice Tanzania

Na wana bahati cable hazijaenea tz nzima mfano hapa tabora sidhan kama watu wanawza kuhusu dstv maana ni mwendo wa cable beinsports na sports 24 wanakimbiza saana.....

Hii mikoa isiyo na cable maeneo tunayoishi tunapigwa sana aise. Wakati fulani nilienda Tabora hakuna hata presha ya kulipia.
 
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Geechie
Naomba kujua hiyo Hdmi cable inakuwaje?.Tupia kapicha niyone mkuu.
 
Geechie
Naomba kujua hiyo Hdmi cable inakuwaje?.Tupia kapicha niyone mkuu.
Mkuu Hdmi cable ni kwa TV inayosupport HD technology most ni hizi flatscreen nyingi za siku hizi,ila kama huna ila TV yako inasupport VGA cable tumia hata hiyo kikubwa una ifanya display ya TV iact kama display kuu ya computer yako.
 
Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Wewe kama mimi mkuu,nilihama King'amuzi chao kwa upuuzi wao wa kupandisha bei kila kukicha.
 
Nafaham lkn nimependa hizo nyingine waliongeza kama dicvery hd,dcvry family,itv na b4u japo wanatakiwa washushe bei zaidi
kwa kweli kwenye bei ni majanga. Ndo ukute unalipia ili upate mipira yote halafu upo busy mipira yenyewe unaitazama kwa kubeep
 
Nimependa kuwa compact plus inaonesha mechi zote na pia channel kama duscivery hd,ci na nyingine kali zimefunguliwa kwl ushindani unasaidia
Najuuuta nligawa king'amuzi changu cha dstv baada ya kununua azam tv now nimegundua azam tv tofauti na local channel na idx, discovery na aljazeera zilizobaki kwangu hakuna zenye maana
 
Nimependa kuwa compact plus inaonesha mechi zote na pia channel kama duscivery hd,ci na nyingine kali zimefunguliwa kwl ushindani unasaidia
Compact inaonesha mechi zote?
 
7cb555778da9e51b5797292b0d7beeb4.jpg
daa409d94c6528a79e957b816a24970b.jpg
a224c9cfd39132fd2696496d08fbcbca.jpg
c95bd0bea0b725f2ff8bc61653bffb7a.jpg
Mkuu hivi kwenye Freesat unaweza kupata TBC
bado huku kupo juuu no stress hivi mkuu hiyo android box unalipia kiasi gani kwa mwezi na inauzwa bei gani pia unapata mechi nyingi kiasi maana huyu sport 24 Hd ikitokea game zipo muda mmoja ni shida kidogo mfano ile ya man u na swansea hawakuonyesha bali wakaichukua ya liverpool
 
Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Hiyo bomba wangefanya 15,000/= Compact 50,000/= Compact plus 80,000/= na premium 100,000/= HALI SI HALI JAMANI Waweke bei rafiki watu tuuangalie mipira na wake zetu nyumbani. Kwanza wakishusha bei hata walipaji wataongezeka. Hata wakipiga simu kuwakumbusha watu kulipa huwa haisadii kwakuwa bei ni kubwa sana! Mult Choice are you there?
 
Ijumaa ya tarehe ngapi mkuu
 
Maneno yako waswahili wasema kuntu laki moja sawa kwa premium maana kwngu mm sioni umuhim zaidi ya mpira tena ya man nimejikaza madrid
 
Wamefanya vizuri ila mim nawashauri wafanye mpango wakuleta vifurushi vya siku kwa bei nzuri kwa ajili ya ligi ya EPL na UEFA.Wakifanya ivyo na hakika watapiga ela yakutosha na watatusaidia nasisi tunaokimbia nyumba zetu kukimbilia kwenye ma bar kuchek mech tutatulia nyumbani tupate burudani ya soka na wake zetu.
 
Na bado watatulia tu kwa usawa huu wa kofuli Deck zote zitafanyiwa maarifa
 
Mkuu hiyo mambo ya 24sports inaonekana imekaa poa sana,nitatenga Muda nije nikuhoji vizuri maana tuko hapa kushare maujanja kuwakwepa hawa wanyonyaji.
Ntarudi mkuu hata weekend ka vp now niko juu kwa juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom