Hongera Multichoice Tanzania

Hongera Multichoice Tanzania

Usiwe ****** unabisha vitu ambavyo ndio fani yetu ngoja niisntall kwenye pc yangu ya ofisini soon ntakutumia screenshot kukuumbua usibishe vitu kama huvijui labda uwe unaomba ufundishwe,umeniboa hujui halafu unabisha
Acha kudanganya watu wewe kama unaweza install alafu tuma screen shot tuone nani muongo kati yangu na yako alafu mob dro resolution yake sio kubwa kama unavyosema wewe
 
1479275598920.jpg
1479275607641.jpg
1479275613376.jpg
1479275622765.jpg


Uache ukilaza wako kwenye sehemu ambayo ni public kama hapa sehemu ya GT kama hujui vitu ungeomba ufundishwe wenzio hivi vitu ni hobby na tunafanya kila siku kuexplore raha ya technologia
 
Tena nimekuwekea toka hatua ya kwanza mpaka mwisho yani hakika umenibore mwanaume kuonekana unabisha vitu ambavyo huvijui
 
Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Hivi bado watu mnapigwa na hao makaburu aisee!! Watu tulishatoka huko tunakamua ligi zote free gharama ni mwanzoni tu baada ya hapo ni mwendo mdundo.
 
1479276037435.jpg

Hii ni full screen unayobisha kuhusu resolution ndugu amini we hujui labda huwa unahadithiwa na wajanja nawe unaaminishwa porojo
 
Acha kudanganya watu wewe kama unaweza install alafu tuma screen shot tuone nani muongo kati yangu na yako alafu mob dro resolution yake sio kubwa kama unavyosema wewe
Njoo huku tumpate muongo kati yangu me na wewe
 
Na wana bahati cable hazijaenea tz nzima mfano hapa tabora sidhan kama watu wanawza kuhusu dstv maana ni mwendo wa cable beinsports na sports 24 wanakimbiza saana.....
 
Me nshatumia sana ikakataaa wewe


tatizo linasababisha ikatae ni kwakuwa hukujua steps za kuinstall.
ngoja tushare kwa faida yetu sote ambao tumechoka kubamizwa na Dstv.
hatua ya kwanza unahitaji kuwa na stable internet,binafsi natumia vodacom 4G inanitendea haki iko speed japokuwa inakula bundle kwelikweli,hatua ya pili download bluestacks katika computer yako halafu ui install,then download mobdro kwenye computer yako inaitwa Mobdro for window PC baada ya kudownload Mobdro nenda kwenye bluestacks.
jambo la kufahamu ni kuwa bluestacks kazi yake kubwa ni kuifanya computer yako ionekane kama android PC na hili file la mobdro bila app kama bluestack au mfano wa hizo haliwezi kucheza kwakuwa ni APK file format hivyo sasa fungua app yako ya bluestacks then upande wa kushoto kuna list ya icon nyingi huko chagua icon ya APK.
ukiiclick hiyo icon itaenda moja kwa moja kwenye computer yako na kutafuta APK file kule itaikuta hiyo Mobdro apk na kuinstall. Baada ya kuwa installed hatua ya kawaida ni kuidouble click hiyo app ya mobdro ambayo itaonekana ndani ya bluestacks na kuanza kuenjoy mamia ya channel kuanzia sports,news,cartoon,movies nk.

kwa muonekano mzuri chomeka waya wako wa HDMI kwenye computer yako kwenda kwenye HD TV yako then mambo yatakuwa murua,au wakati mwingine me naweza fanya mirror cast kwa TV kutoka katika simu yangu.
 
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Daaa Mkuu nakupigia saluti,kwa hiyo akili wanabaki wanakodoa kodo.
 
Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Tarehe 15 ya mwezi ujao Mkuu? Mbona website yao wameweka bandiko kwamba 'Now'!!?
 
Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Tafuta dish la kawaida futi 6 au 8 ,futi 6 ni shilingi 100,000/= lnb 3 za c band ukitaka na ku moja then kuna decoder za kijanja aina ya alphabox au freesat hapo ni mwendo mdundo gharama ya decoder 110,000/= mpaka 145,000/= .
 
Tafuta dish la kawaida futi 6 au 8 ,futi 6 ni shilingi 100,000/= lnb 3 za c band ukitaka na ku moja then kuna decoder za kijanja aina ya alphabox au freesat hapo ni mwendo mdundo gharama ya decoder 110,000/= mpaka 145,000/= .
Futi 6 au 8 hilo dubwana si litakuwa likubwa sana kama yale madish kama ya madogo hayafai mkuu
 
Futi 6 au 8 hilo dubwana si litakuwa likubwa sana kama yale madish kama ya madogo hayafai mkuu
Kama uko chumba cha kupanga sawa ila kama ni nyumba haina tatizo yale madogo unaingiza chanel zao kama ni ting utanasa za ting kama startimes ni hizo za startimes ila kwa sport 24 na Sony series unatakiwa uwe na hilo la futi 6 au 8
 
Chezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu
bado huku kupo juuu no stress hivi mkuu hiyo android box unalipia kiasi gani kwa mwezi na inauzwa bei gani pia unapata mechi nyingi kiasi maana huyu sport 24 Hd ikitokea game zipo muda mmoja ni shida kidogo mfano ile ya man u na swansea hawakuonyesha bali wakaichukua ya liverpool
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom