Hongera Multichoice Tanzania

Hongera Multichoice Tanzania

Chezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu
bado huku kupo juuu no stress hivi mkuu hiyo android box unalipia kiasi gani kwa mwezi na inauzwa bei gani pia unapata mechi nyingi kiasi maana huyu sport 24 Hd ikitokea game zipo muda mmoja ni shida kidogo mfano ile ya man u na swansea hawakuonyesha bali wakaichukua ya liverpool
 
Kama uko chumba cha kupanga sawa ila kama ni nyumba haina tatizo yale madogo unaingiza chanel zao kama ni ting utanasa za ting kama startimes ni hizo za startimes ila kwa sport 24 na Sony series unatakiwa uwe na hilo la futi 6 au 8
7cb555778da9e51b5797292b0d7beeb4.jpg
daa409d94c6528a79e957b816a24970b.jpg
a224c9cfd39132fd2696496d08fbcbca.jpg
c95bd0bea0b725f2ff8bc61653bffb7a.jpg
 
Hawa jamaa niliwahi kuwawakia kwann Kombe la Mfalme (copa de la rey) hawaonyeshi mecho zote, ligi ya Italy na Germany hawaonyeshi kabisa kama zamani, wakaishi kuunya-unya tu....
 
Nimependa kuwa compact plus inaonesha mechi zote na pia channel kama duscivery hd,ci na nyingine kali zimefunguliwa kwl ushindani unasaidia
mkuu mbona siku zote inaonyesha mechi zote? maana super sport three ipo Premium na compact plus basi
 
mkuu mbona siku zote inaonyesha mechi zote? maana super sport three ipo Premium na compact plus basi
Nafaham lkn nimependa hizo nyingine waliongeza kama dicvery hd,dcvry family,itv na b4u japo wanatakiwa washushe bei zaidi
 
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Samahani mkuu umeongea vitu japo sijavielewa ila vimenivutia nisaidie kunielewesha mkuu.
 
Mkuu nimekuelewa ila Kuna hatua nimejaribu kuzielezea hapo nyuma kdogo jaribu kuzifuata ukikwama lets share
 
So dola ikipanda mapato kwa wa tz yanaongezeka! Waache kupanga bei kwa mitazamo ya dola kwanza in kosa kisheria ! Wafanye biashara kwa soko la tanzania!! Waaulize FLP walivyopotea!! Wanataka tuone DSTv in anasa!
 
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.

Mkuu kwangu bluestack inastuck kweli kweli aise.. Nipe maujanja.
 
Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Bado wako juu sana,huku Azam Tv ni 15,000 tu
 
Usiwe unabisha vitu ambavyo ndio fani yetu ngoja niisntall kwenye pc yangu ya ofisini soon ntakutumia screenshot kukuumbua usibishe vitu kama huvijui labda uwe unaomba ufundishwe,umeniboa hujui halafu unabisha
Acha kudanganya watu wewe kama unaweza install alafu tuma screen shot tuone nani muongo kati yangu na yako alafu mob dro resolution yake sio kubwa kama unavyosema wewe

Wakuu inawezekana kabisa, mimi nilishafanya hivyo sema Bluestack kwangu inastuck sana.
 
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
umetisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom