Hongera Multichoice Tanzania

Hongera Multichoice Tanzania

Mkuu kwangu bluestack inastuck kweli kweli aise.. Nipe maujanja.
Swala LA bluestacks kustack stack kweli uko sahihi kabisa kwa kuwa ukiirun huwa inaifanya Pc yako kuwa nzito sana hasa kama ikI download ma application mengi na games kumbuka kuwa unapoinstall bluestacks huwa inakuwa kama simu ya android inavyojaa application.Binafsi nilichofanya nimedownload hizo app zote mbili Mobdro na bluestack ila huwa nazi install kutokana na uihitaji katikati ya wiki huwa nai unstall na kuacha source file katika download file ili pc yangu iwe free. Nikipata solution bora zaidi ntarudi tushirikishane.
 
Ngoja nami nizifute vumbi hizi decorder zangu za Dstv..maana hata dish lake nimebadilisha matumizi, ninategea FTA zingine. Bei zao ni za kinyonyaji hasa, yaani unalipia hela nyingi utafikiri unafanyia biashara? Muda wa kuangalia ni usiku tu afu nilipie kila mwezi? basi pamoja na bei zao wangefanya iwe ni kama luku, unalipia unapotumia.
Decoder ilinizinguaga nikawapigia wakaniambia niipeleke osterbay, wakanicharge dola 25, wasenge sana hawa dstv.
Azam tatizo haina quality na mapicha ya FTA yamejaa, ovyo tupu. Ngoja niirudie dstv pamoja na gharama zake.
 
Swala LA bluestacks kustack stack kweli uko sahihi kabisa kwa kuwa ukiirun huwa inaifanya Pc yako kuwa nzito sana hasa kama ikI download ma application mengi na games kumbuka kuwa unapoinstall bluestacks huwa inakuwa kama simu ya android inavyojaa application.Binafsi nilichofanya nimedownload hizo app zote mbili Mobdro na bluestack ila huwa nazi install kutokana na uihitaji katikati ya wiki huwa nai unstall na kuacha source file katika download file ili pc yangu iwe free. Nikipata solution bora zaidi ntarudi tushirikishane.
Ndugu nashukuru sana kwani nimefanikiwa kuiweka kwenye Laptop yangu na sasa nakula mavituzzzz.
 
Hii mikoa isiyo na cable maeneo tunayoishi tunapigwa sana aise. Wakati fulani nilienda Tabora hakuna hata presha ya kulipia.
Hata Singida bro huwa nikienda likizo na enjoy sana
 
Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Hata mimi mkuu chakushangaza TBC haina sauti.
 
Najuuuta nligawa king'amuzi changu cha dstv baada ya kununua azam tv now nimegundua azam tv tofauti na local channel na idx, discovery na aljazeera zilizobaki kwangu hakuna zenye maana
Hapo Mimi huongeza fine living zilizobaki huwa sigusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom