Kwani Feza inamolikiwa na waTz??La kujifunza ni je watoto hao ni wakaazi wa mkoa wa Pwani? Wamiliki wa shule ni wenyeji wa mkoa wa Pwani?
Shule za "vipaji" zipo nyinyi!!Zamani zile, nafasi ya kwanza ilikuwaga exclusively reserved for Mzumbe Secondary. I dont know what went wrong...
Kibiti nayo iko pwani au?Sina uhakika huo.ila 4 bora ziko Pwani tunajifunza nini?!?
Yaani watoto wa kikwete kingunge marehemu ditopile kitwana kondo wajukuu wa sykes meck sadiki hawawezi kusoma? Au hamjui dar es laam nao no pwani?Huwez kuta mkaazi wa pwan anasoma humo....
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwani wewe unataka kujifunza nini hapo!Sina uhakika huo.ila 4 bora ziko Pwani tunajifunza nini?!?
na kwa takwimu zilizopo Mkoa huu pia unajengwa viwanda vingi kwa sasa kuliko pengine popote sijui nini siri ya haya yoteHongera kwa shule 4 bora Katika 10 kwa kutoka Mkoa wa Pwani
Kuna jambo la kujifunza kutoka Pwani!
We ni kipofu, hujui kibaha inaendeshwaje japo ni ya serikaliMmiliki wa kibaha secondary ni nani
Post sent using JamiiForums mobile app
Mbona povu jingi na sabuni haijulikani humu?
Mie MTU wa pwani na degree yangu kibindoni, acha povu na chuki kijanaMbona povu jingi na sabuni haijulikani humu?
Hizo shule si za wakazi wa pwani ,zimeletwa na wageni wawekezaji, hawa jamaa mpaka sasa habari zao ni vigodoro na ujinga mwingine wa kimaskini ila mahala popote duniani maendeleo huletwa na wageni halafu wenyeji wakajifunza na kubadirika.
Kwahiyo tunawapongeza wawekezaji hao ambao ni dhahiri mikakati yao ni ya kimataifa na si inayofanana na wakazi waliowakuta hapo ndio maana wameleta chachu kama hiyo ya maendeleo.
Hongera kwao, na wawekezaji zaidi waje kuongeza nguvu hiyo , ili hatimaye watu wa pwani wajione kuwa nao wanastahili kubadirika na kuwa kama watu wa Arusha na Dar na sio kuishia kwenye bangi na vigodoro.
Kama hujui vijana wengi wazawa wa pwani ni bangi na vigodoro tu na wakijitahidi mwisho ni 4m4 ya failure, usitoe povu!
Lakini juhudi za watu fulani wenye maono zinaendelea kuzaa matunda taratibu, kwani avumae baharini ni papa lakini wengi wapo, zipo shule nyingine mbili tatu nao hawajaonekana hapo ila hongera zao sana , wako vizuri!
Haijalishi, mradi shule zipo mkoa wa pwani na ndivyo inavyosomeka, tosha.La kujifunza ni je watoto hao ni wakaazi wa mkoa wa Pwani? Wamiliki wa shule ni wenyeji wa mkoa wa Pwani?