Hongera Mkoa wa Pwani kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania ..mtihani kidato cha sita 2017

Mmiliki wa kibaha secondary ni nani

Post sent using JamiiForums mobile app
Kibaha Secondary inamilikiwa na Shirika la Elimu Kibaha ( shirika hilo linamiliki shule nyingine tatu, hospitali ya Rufaa Tumbi, vyuo viwili na mali nyinginezo kibao). Huyo unayempongeza shule hii haimhusu kwani haiko chini ya RAS.

Mpongeze mkurugenzi wa shirika au mwenyekiti wa bodi. Mfumo wa uendeshaji na umiliki wa shule hiyo ni kama wa private na haifanani kabisa na shule zilizoko chini ya RAS
 
Labda useme tuupongeze mkoa kwa kutoa maeneo ya kujenga hizo shule. Lakini kwenye suala la ufaulu pongezi ziende kwa shule husika maana mkoa haujachangia lolote kufanikisha ufaulu.

Na ndio maana hata hapo kibaha atakaepewa credit labda mkuu wa shule.
 
Dhamana ya elimu iko chini ya ofisi ya elimu ya Mkoa husika.

Hongera zao kwa kupata wawekezaji wazuri wa elimu
 
Acha wivu.najua pwani imejengwa na wageni kama dar.lakini tuupe sifa yake mkoa wa pwani.
Karibu bagamoyooo.

Post sent using JamiiForums mobile app
Sina wivu wowote bali tunawakumbusha mpende kusoma sio mikesha ya ngoma pelekeni watoto shule kunabndugu zenu hapa dar mtu anakisaloon chake badala afanye biashara kila siku shughuli maneluvitugani sijui sasa muoe huyo utaipata fresh

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asante kwakuni karibisha

AHMES inamilikiwa na nani maana ni mpya masikioni mwangu
 
inaguration_1_0.jpg
Alipokuwa anafungua shule hiyo
 
Back
Top Bottom