Hongera Mkoa wa Pwani kutoa shule 4 kati ya 10 bora Tanzania ..mtihani kidato cha sita 2017

Mkoa unapata credit kwa kufanya lipi sasa?

Serikali inakaa mkoa wa pwani?
Huo ufinyu kufikiria serikali ndo kila kitu nchi yote hii ina miliki takriban maeneo yote ndo maana pwani kuna mkuu wa wilaya ,mkuu wa kipolisi mkoa wa kuu wa vikosi vya jeshi wote wako kwa ajili ya kuwakilisha serikali kuu
 
Keep on brooding in broad daylight
 
Pongezi ziende kwa wamiliki wa shule and not mkoa wa pwani
Hizo shule hazina uhusiano wa direct na mkoa wa pwani
Bhas hizo shule waziandike majina ya wenye shule.sio mahali ilipo.
Mbona mna wivu?
Feza ipo dar mmekaa kimya wala hamjahoji.ila bagamoyo sababu mna chuki nako kutoa shule tatu mmenuna
BAGAMOYO OYEEEE.VIVA MARIAN VIVA AHMES,HUKU WATOTO WANA SOMA JOMBAA.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
na kwa takwimu zilizopo Mkoa huu pia unajengwa viwanda vingi kwa sasa kuliko pengine popote sijui nini siri ya haya yote
Na wafanyakazi wote juu watatoka sehemu nyingine wao shule ni kama umande wa asubuhi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwa shule 4 bora Katika 10 kwa kutoka Mkoa wa Pwani

Kuna jambo la kujifunza kutoka Pwani!
Shule zilijengwa Pwani kwa kuwa kuna Ardhi bwerere ya wazaramo waliolala plus ndengerekos. Hivyo wenye akili wanawekeza huko kwa wasiojitambua. Sasa wazazi wa DSM wengi ndiyo wanapeleka Watoto Shule hizo. Hivyo Pwani kwa kwa hali halisi wanafunzi toka Pwani kitaaluma ni mikia. Sorry kwa ligha ngumu ila bora kuwapa ukweli bila kupepesa na kupindisha ukweli. Hivyo Mimi sitasifia Pwani ila nitasifia mikoa ambayo inaleta wanafunzi Shule hizo bora za Pwani. Igweeeeee
 
Dhana tu hizo,huna data za hizo shule.tunaandika kwa hisia.
 
Pongezi ziende kwa wamiliki wa shule and not mkoa wa pwani
Hizo shule hazina uhusiano wa direct na mkoa wa pwani
Hongera Mkoa wa Pwani kwa kutoa shule 4 bora kati ya 10 Tanzania 2017

Takwimu zitabaki hivyo ndugu.
 
Back
Top Bottom