Hakuna?! MhHakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.
Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu mama kwa lugha hii.
Kuna Nyarandu mkuuHakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.
Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu mama kwa lugha hii.
Kwa hiyo tufanyeje sie tunaozungumza kiswahili?Hakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.
Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu mama kwa lugha hii.
Kabisa mkuu JK namwaminia.Jk kiboko yao wote hao,katibu wa UN baada ya Ban ki moon