Hongera Makamu wa rais kwa kiingereza kizuri

Kiongozi mmoja akishindwa kutema yai haina maana kuwa nchi nzima hatujui. Wapo wabongo wengi tu wanatema yai la uhakika kama vile lugha haikuletwa na meli, Baba J yeye ni mathematician ndio maana yai linagoma
Mbona mathematicians wengi tu wako vizuri, asiye vizuri kwa kusingizia ati yeye ni mwanasayansi au mwanahisabati ama mwanaapolo atakuwa na matatizo yake binafsi siyo bure asome zaidi ya miaka 10 kwa kiingereza lakini asiweze ongea hata sentensi moja iliyonyooka pasipo kujiumauma.
 
Siku ile amekuja yule PM wa INDIA nliona mama fulani hivi akirudia hotuba ya MZEE wa kaya kwa lugha nyingine ile ya mbele..

Sasa nauliza hivi... huyo naye kaajiliwa kwa kazi hiyo?
 
mafanikio ya Watanzania ni viongozi kuongea kiingereza bongo shida sana aisee...huko Tandaimba au nyarongo wanahitaji kujua wanaongea viingereza hao si kutatuliwa kero zao ndio cha msingi...
 
Kwahiyo ukiongea sn kin gereza unamaanisha ndy msomi sn au? Hacha hzo ww mbona hapo Zambia tu watoto wadogo tu wanaongea sn tu kin gereza kizur ww vp?
 
Hakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.

Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu mama kwa lugha hii.
Sikulaumu kwa sababu hiyo ndo thinking limit yako,
 
Nimecheka sana mkuu nikweli tumeshafikia huko???
Inasikitisha sana kwamba tumeshindwa kujua kwamba Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine yeyote, tofauti ni kwamba imesambaa zaidi duniani. Naamini hata kimakonde kingesambaa duniani kuliko lugha zingine wanaokiongea wangekuwa wanaabudiwa sana. Lakini kwa bahati mbaya kipo kusini mwa Tanzania na maeneo machache ya Msumbiji.
 
Back
Top Bottom