Hongera Makamu wa rais kwa kiingereza kizuri

Hakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza.

Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu mama kwa lugha hii.
Kuna Nyarandu mkuu
 
Kwa hiyo tufanyeje sie tunaozungumza kiswahili?
 
Binadamu yeyote asiye mbantu wana uwezo mzuri sana wa lugha. Wabantu sijui wako na shida gani linapokuja suala la lugha zisizo na asili ya kibantu.
 
kuwa na kiingereza kizuri haimaanishi ni kiongozi mzuri.
 
Back
Top Bottom