Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Labda ni mimi ndiyo nachanganya mambo lakini UDOM haikuwa conceptualized na kujengwa wakati wa Mkapa kisha ika malizika kipindi cha JK na yeye kuki zindua mwaka 2007?
Je hiyo rekodi ya dunia umeipimaje mkuu? I mean ume research ukaona ni rekodi ya dunia au ume fikiaje hiyo conclusion?
Otherwise hongereni wahitimu wa UDOM.
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Ni wazo la Mkapa. Hivyo ndivyo nijuavyo tangu zamani. Lakini lazima kukubali pia kwamba kimejengwa pesa za Ayatollah wa Iran. Tusubiri kuona mkataba ulikuwa ni upi?
Udom haikuwa concept ya Mkapa, kwa matamshi yake Mwenyewe Kikwete katika uzinduzi hapo jana, ilikuwa ni "kiherehere" chake binafsi na ahadi binafsi aliyoitowa wakati wa kampeni za 2005, anasema, aliogopa hata CCM wasije wakamuuliza hii sera ya kujenga chuo kipya ilitoka wapi? Na Bajeti yake iko wapi.
Kuhusu rekodi ya Dunia. Hilo ni wazo langu binafsi, kwani mpaka sasa sijasikia, wazo, ahadi, kujenga chuo kipya, mpaka kudahili within 2 years na kutowa wahitimu wa mwanzo within 5 years. Sijawahi kuona au kusikia zaidi ya UDOM. Jee wewe umewahi?
Natoa pongezi na hongera zangu za dhati kabisa kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Toka wazo hadi udahili wa mwanzo mpaka leo tunashuhudia wahitimu wa mwanzo wa UDOM, yote haya katika kipindi kifupi. Hii ni rekodi ya Dunia.
Hongera wahitimu, hongera Tanzania.
Usihitimishe kwanza ngoja tuwapokee hao wahitimu kwenye ajiri na tupime uwezo wao kwa kuwalinganisha na wahitimu wa vyuo vingine kama Mzumbe, IFM, UDSM, MUCCOBs, nk