ELNIN0
JF-Expert Member
- Nov 26, 2009
- 4,161
- 1,460
tobaaa, i didnt know that our trains run at 35KPH....mmmh ndio maana hapo mwanza tu ni karibu siku 3....sasa wanataka kuleta treni za 120KPH mmmmh huo ni mwendo kasi mkubwa sana. kama haya ya 35 KPH ajali kila siku wakileta hayo ya 120 KPH ndio 'kichinjio'...bora walete ya 70 KPH kama ya uhindini...
pole mi nimepanda sana, kama hujui toka mwanza train ilikuwa inatoka saa 12 jioni - inafika tabora alfajiri saa 11 hivi, inaondoka saa 2 inafika dodoma saa mbili usiku - morogoro saa mbili asubuhi - dar inaingia saa sita mchana. piga hesabu masaa magapi - na dar-mza ni 1200km tu appox.
hizo nakupa data - sisi tulizipanda sana kipindi cha collective tikets wakati tunasoma secondary ..... naona mzee umekulia magorofani.
kwenye point - kichekesho train itapita kwenye reli ipi - study inaonyesha tunajenga reli mpya?