Hongera Kikwete; Hongera CCM kwa mpango huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Kikwete; Hongera CCM kwa mpango huu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 29, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,390
  Trophy Points: 280
  Dailynews Reporter in Dodoma,
  28th January 2010


  TANZANIANS may soon witness trains moving as fast as 120 kilometres per hour as the government mulls introduction of fast moving locomotives in an effort to improve transport services.

  The Minister for Infrastructure Development, Dr Shukuru Kawambwa, told the National Assembly here that the trains would be travelling at 120 kilometres per hour, unlike the existing trains which travel at 35 kilometres per hour.

  Dr Kawambwa was responding to questions by Janeth Kahama (Special Seats-CCM) who wanted to know when the government would introduce double decker coaches in order to transport more passengers.

  She also wanted to know measures taken by the government to rehabilitate rail tracks and railway stations which were in dilapidated conditions.

  Responding to a supplementary question by Esther Nyawazwa (Special Seats-CCM), the minister said that the slow moving trains were even affecting the economy.

  "There’s nowhere in the world where trains are now travelling at 35k/h and China has just introduced trains with 350k/h”, commented Dr Kawambwa.

  The minister explained that the government was planning to improve rail tracks by expanding gauge from 1000 metres to standard gauge of 1435 metres.

  "The government has already conducted a feasibility study on how to improve railways from Dar es Salaam to Isaka and construction of a new railway line from Isaka-Kigali/Keza-Gitega-Musongati in Burundi in standard gauge.

  "The new railway will be a modern one and already 5.2bn/- has been spent on feasibility study and designing will follow", the minister stressed.

  Dr Kawambwa noted that according to the feasibility study, containers would be transported in form of double stack.

  He added that Tanzania, Burundi and Rwanda were now mobilizing resources for the project through Public Private Partnership (PPP).

  My Take:


  I refuse to comment!! hata mnishikie bastola!!
   
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Refer DARTS huu mwaka wa ngapi?
   
 3. W

  WildCard JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Una haki kuto-comment. Hata hizo treni za 35 km/h hazipo!
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Fast moving trains at 120km/hr? This guy must be kidding!!!!!!!!!!!
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahaaa!
  Siasa za sisiem bana!
   
 6. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hivi jamani mbona kila wakati wa kikao cha bunge kunakuwa na maelezoo tuu kuhusu mipango ya maendeleo ila utekelezajii kuwa NDOTO???????

  Wabunge nao kazi si kuuliza maswali tuu bali pia kuandaa hoja binafsi, miswada kuhusuu masuala mbali mbali ya utekelezaji wa mipango ya serikalii...

  Ni lini wabunge waliwahi hata kupitia kamati zao kuandaa mswaada binafsi wa kuboresha utendaji wa serikaliii??? mfano kuwepo kwa riba kubwa ya mikopo nchini, kwa nn wabunge wasije na mswada wa kuboresha jamboo hiloo ili wananchi wengi waweze kupata mikopo kwa riba nafuuuuuuu?????????????????????????????????????????????

  sipendi wabunge wa kupenda posho na kusalimiana na MAWAZIRIII TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU..
   
 7. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  TRL,ATCL,TAZARA, TANESCO,DART, blaa blaaa

  Uzuri serekali hata siku moja haijawahi kukosa majibu mazuri, kimsingi nacho ona mipango binafsi ya watawala wetu ndo inakwenda sawia tu, kama kusomesha watoto ulaya, kuwa na nyumba nzuri, magari ya kifahari, kuandaa watoto wao ili waje kuwa watawala wa kesho, kuwa na hisa kwa makampuni ya Wahindi N.k, Cha msingi wangewarudishia Waingereza kama sio Wajerumani koloni lao naamini maendeleo yangepatikana tu hata kwa viboko
   
 8. GY

  GY JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  A goal without a plan is a wish!
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,917
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Kuelekea uchaguzi mkuu tutasikia kila aina ya ahadi..
   
 10. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Siasa inabidi huwe kama chizi kwa kutumia ekaya za abunuwasi kutoa maelezo na majibu ya ajabu ajabu kama huyu Daktari Kawambwa. Shame on them wanahitaji kukaa kimya manake they are now jack of all trades master of none.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,390
  Trophy Points: 280
  unajua neno gani lilinijia kichwani leo? "serikali bishoo".. does it make any sense?
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hata mimi I refuse to comment hata ahmednejadi alete atomic bomb. But since I am a Tanzanian, please someone tell me 5.2bn on feasibility studyy!!!!!!!????? $$$HHHIIIITTT Hapo designing will follow, how many billions my friend kawambwa, then what for how much? before the real construction?

  hata pesa za Bush for tunduma-sumbawanga, masasi-songea inawezekana zimeishia kwenye feasibility study!!!!!
   
 13. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hawa jamaa wangekuwa na spidi kama ya kupost picha za JK akiwa na 'wanene' huko ugahibuni basi serikali ingekuwa mbali sana katika kutenda kazi zake za kila siku. Lakini cha kusikitisha ni kwamba serikali imekuwa kama PR group kuhakikisha JK anapambwa na kupambika. Kazi zote muhimu zinazoikabili jamii ziko kwenye fungu la 'Miscellaneous'.

  Siku zinakuja mtaanza kusikia kashfa za fedha za 'kilimo kwanza'.
   
 14. GY

  GY JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Umeanza kucomment, au wameshakushiriki AK47
   
 15. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hata treni za kupita angani na majini tumesha agiza. Kweli tunaelekea kwenye nchi ya kusadikika!
   
 16. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  tobaaa, i didnt know that our trains run at 35KPH....mmmh ndio maana hapo mwanza tu ni karibu siku 3....sasa wanataka kuleta treni za 120KPH mmmmh huo ni mwendo kasi mkubwa sana. kama haya ya 35 KPH ajali kila siku wakileta hayo ya 120 KPH ndio 'kichinjio'...bora walete ya 70 KPH kama ya uhindini...
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,788
  Trophy Points: 280
  Mara nyingine is good to be a dreamer...labda ni ndoto zetu za kawaida tunazoota
   
 18. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Does your mind tells youit is short? No you are totally wrong. It is too long distance to imagine - from Tanzania to where we normally keep our "Vijisenti"!
   
 19. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hizo train zitapita kwenye reli ipi? au tunajenga reli mpya?
  nani kafanya huo upembuzi yakinifu?

  unasisima bungeni kuelezea kitu ambacho hata mtoto anaona hakiwezekani - huu ndo utani tunaousema kila siku watu hawafanya kazi ila wanafanya siasa.

  jamani tuache bla bla tufanye kazi - hatuwezi endelea wa style hizi ndugu zangu.
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Hivi ile project ya mabasi ya kasi Dar imeishia wapi??
   
Loading...