Hongera JK na Mama Salma

Mama KIKWETE! Hizo nywele umechemsha kweli. Sijui msusi alikuwa nani?
Hongereni. Umependeza mama ila kichwani rekebisha.

Maye I am old fashion, but i thought Mama kapendeza na hiyo hair style!!!! Duh kweli midume na fashion za kike ni ngumu
 
This post was uncalled for and the language was not necessary and i am sure you didnt mean what you said. He [JK] didnt come to post the photos and family matters are family matters, mlaumu aliyeleta hizo news

Respect is very important especially on personal matters

Hakuna mkamilifu duniani

You are right kabisa. Kikwete hakuleta picha hapa. Wafuatiliaji wa mambo ndo wameleta, nikiamini kwa nia njema. Na kwa ukweli ni lazima tumpongeze. anayepiga vijembe ana yake. Hebu tujaribu kuwa objective kwa kila theme. Hii theme ni kwa ajili ya pongezi. Kama ni kutaka kulaumu kwa mapungufu mengine mbona themes za aina hiyo zipo?? I hope wote hapa tupo watu wazima, at least over 18!! So michango ni lazima iwe ya mtu wa over 18 years old na si vinginevyo. Nafikiri mnanipata namaanisha nini hapa.
 
Maye I am old fashion, but i thought Mama kapendeza na hiyo hair style!!!! Duh kweli midume na fashion za kike ni ngumu

Yaani mama amependeza sana na hiyo Golden wear yake. Keki hadi mate yananidondoka. Jamani penye ukweli tuwe wakweli si kila kitu tunaponda. Hongera MTM kwa kuliona hili. Wamependeza kwa kila kitu.
 
Hongereni sana!!20yrs sio mchezo,Mungu awatangulie na awaongoze mfike kwenye golden jubilee!!!!Kiluminati una matatizo wewe!!!!!hivyo vimeo umempa wewe?
 
ha ha ha Masanja hiyo nimeipenda lakini mbona wanaume wengine wana fail na wako peke yao.
Mwanamke mvumilivu sana huyu na ndo inatakiwa, anayeuliza hana pa kwenda una maana gani angekuwa wa kwenda angeenda those days ambazo alikuwa hatoki hata na mzee, sasa hivi maambo yameiva ndo aondoke yani asile hata matunda ya mti alioshiriki kuupanda, kuumwagilia na kuweka mbolea we vipi?

Kuwa peke yake inategemea ... anaweza akawa "peke yake" lakini kazungukwa na " wanawake" hadi akafikwa na maanguko! si unajua tena baadhi ya wanaume hata kama hawana kitu wakipata shurti watafute warembo wakutumia hicho kidogo walicho nacho...

Nimependa point yako ya pili...kweli kabisa ...hatoki mtu hapo!
 
It is this women spirit that makes me respect them even more; fight for what is your, sisi akina baba hapo kidogo tumepelea

I have read Maane, Joyceline and WoS and I am glad that you make me feel proud to be married

They say angeenda juu kipungu, hafikilii mbinguni... si atarudi tu huyo? au sio?
 
Hongereni sana!!20yrs sio mchezo,Mungu awatangulie na awaongoze mfike kwenye golden jubilee!!!!Kiluminati una matatizo wewe!!!!!hivyo vimeo umempa wewe?

Cool Girl mbona unanimaindi, freedom of speech whether spoken or written inafanya kazi hapa, anyway inaelekea hujaona thread za kuhusu vimeo vya rais wako hapa jamvini na sitakumbushia. So nami naingia mkumbo na kumpongeza kwa kutimiza umri huo wa pingu za ndoa. Yeah right!!
 
hongereni sana! wamependeza kweli, jamani hakuna aliemkamilifu dunia hii! hao vicheche mmemshuhudia nao au ni story za salon tu, siri ya mtungi aijuae ngata! wamependeza na kunoga, 20 mchezo?
 
Cool Girl mbona unanimaindi, freedom of speech whether spoken or written inafanya kazi hapa, anyway inaelekea hujaona thread za kuhusu vimeo vya rais wako hapa jamvini na sitakumbushia. So nami naingia mkumbo na kumpongeza kwa kutimiza umri huo wa pingu za ndoa. Yeah right!!

Mkuu umenivunja mbavu!! But its good that umejiunga na thread yenyewe ya kumpongeza hayo mengine yana sehemu yake kubwa tu
 
Afadhali amekumbuka miaka yake katika ndoa.....pamoja na mzigo mkuwa alio nao kwenye kuongoza nchi..hingera mkuu....wa nchi.Miaka ishirini ni tight kwenye ndoa...
 
Hongera zake mzee JK na Salma!..20 years si mchezo,Mola awajalie na kuwaongoza katika maisha yao kwa miaka mingi ijayo. Ishallah!!!!!
 
Rais mchovu tu, hizi private matters zake kivyake, otherwise watanzania wanazidi tu kupigika.....ana tofauti ndogo sana na rafiki yake Mugabe!!!Who give a s..t hata kama anatimiza miaka 100 ya ndoa!!Na vimeo vyote alivyonavyo kweli huyo mrs. hana pa kwenda kwa kweli.

Lamkosaji, wenye roho za kutu kama wewe killuminati mtajiju

"Hongera Mr. President and your wife"
 
ha ha ha Masanja hiyo nimeipenda lakini mbona wanaume wengine wana fail na wako peke yao.
Mwanamke mvumilivu sana huyu na ndo inatakiwa, anayeuliza hana pa kwenda una maana gani angekuwa wa kwenda angeenda those days ambazo alikuwa hatoki hata na mzee, sasa hivi maambo yameiva ndo aondoke yani asile hata matunda ya mti alioshiriki kuupanda, kuumwagilia na kuweka mbolea we vipi?
Tupo pamoja MAMA.
 
Mkuu kama sikosei Ridhiwan kagraduate UDSM already si rahisi kuwa under 20 kwa education structure ya Bongo. labda Mheshimiwa alianza kuzaa kabla ya kuofficiate marriage

Niliwahi kusikia kwamba Salma si mama mzazi wa Ridhwan. Mama yake nasikia alishafariki kama ni kweli basi alifariki labda kabla kikwete hajawa maarufu katika anga za kisiasa au wakati anafariki hawakuwa pamoja katika ndoa.
 
..." Besides every successful Man, there is a Goodwoman of Noble Character!"

But dont forget: Behind every failed man, there is more than one woman-Lol

...:eek: kweli eeeh? will start looking over my shoulders kuhakikisha, mama yangu, dada zangu, shangazi zangu pamoja na mama zangu wakubwa kwa wadogo wanakaa mbali na 'nyendo' zangu!

"Failure is nature's plan to prepare you for great responsibilities."
(Napolean Hill)
 
Niliwahi kusikia kwamba Salma si mama mzazi wa Ridhwan. Mama yake nasikia alishafariki kama ni kweli basi alifariki labda kabla kikwete hajawa maarufu katika anga za kisiasa au wakati anafariki hawakuwa pamoja katika ndoa.

BaK;

We are very good in talking about others family... can we share our family histories too? BTW, is it neccesary to talk about mamake ... alikufa wakati hawako pamoja? how will the boy feel?

I am not comfortable with that aisee, tuache ya familia yabaki humohumo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom