Hongera JK na Mama Salma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera JK na Mama Salma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Mar 31, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..." Besides every successful Man, there is a Goodwoman of Noble Character!"

  [​IMG]
  [​IMG]
  Rais Jakaya Kikwete jana alitimiza miaka 20 ya ndoa yake na Salma Kikwete .
  Sherehe hizo za kuadhimisha miaka hiyo 20 ilifanyika Ikulu jana jioni ambapo keki ilikatwa na wawili hao walilishana keki hiyo kwa bashahi mbele ya familia na jamaa ya karibu.
  Pichani wakikata keki pamoja na ya pili mzee akimlisha mama keki. Lukwangule inawatakia kila la heri katika familia hii ya kwanza ili kuweza kuiongoza vyema familia yao na nchi.

  chanzo; lukwangule entertainment  Miaka 20 ya ndoa, ...naam, miaka 5... 10... 15... 20 ni mfano wa kuigwa! Kila la Kheri katika miaka mingine ishirini (na zaidi) ijayo!
   
 2. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kila la kheri.......
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  even hi i congratulate my beloved president and his wife for this event. May Almighty GOD increase happiness in their life with all the family
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Poa kweli!

  JK na Salma Hongereni!
   
 6. A

  Amelie Senior Member

  #6
  Mar 31, 2009
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana miaka 20 ya ndoa si mchezo!mmevumiliana katika mengi!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana sana sana, kwetu Dar husema ''Alf Mabrouk''
   
 8. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Rais mchovu tu, hizi private matters zake kivyake, otherwise watanzania wanazidi tu kupigika.....ana tofauti ndogo sana na rafiki yake Mugabe!!!Who give a s..t hata kama anatimiza miaka 100 ya ndoa!!Na vimeo vyote alivyonavyo kweli huyo mrs. hana pa kwenda kwa kweli.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  ...The secret of a happy marriage remains a secret.
  Henry Youngman
   
 10. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #10
  Apr 1, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana,Wito kwa wanawake wote muwe wavumilivu kama Mama Salma,Nadhani mumeelewa namaanisha ninieeee!

  PS. Hivi Ridhiwan na yule Binti aliyehitimu Muhi2 ni under 20 loh maajabu.
   
 11. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama sikosei Ridhiwan kagraduate UDSM already si rahisi kuwa under 20 kwa education structure ya Bongo. labda Mheshimiwa alianza kuzaa kabla ya kuofficiate marriage
   
 12. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  M
  NIKIWA KTK MAFUNZO YA MGAMBO(ambayo nilitoroka) AFANDE MMOJA ALIWAHI SEMA......"KATIKA MSAFARA WA MAMBA, KENGE PIA WAMO".....

  MTU ANAPOFANYA OVU AU ANAPOKOSEA ANALAUMIWA AU KUKOSOLEWA PIA ANAREKEBISHWA....! SASA MKULU WETU AMECHEZA KAMA PELE TUNASTAHILI TUMPONGEZE.....!
  JK, NIPE NAMI MBINU ILI NIFIKISHE MIAKA 20 YA NDOA NA ZAIDI YA HIYO....!


  BRAVOOOO......!
   
 13. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ...ha ha haaaaaaaaa, hii imetulia. The man is so smart when it comes to social. Had it been the same to handling national concerns...woh
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...si ndio hapo, anapokula anahakikisha hamwagikiwi na mchuzi, kisha ananawa mikono, anachokonoa meno, kama maji anasukutua. Sio ulafi mpaka anavimbiwa au anakuja bambwa jinsi anavyo'beua-beua' hovyo!

  "Behind every great man there is a surprised woman."
  -Maryon Pearson​

  ...sio mtu yupo yupo tu hata kuku anashindwa kuwaongoza bandani jua linapokuchwa!

  Hongera JK!
   
 15. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mama KIKWETE! Hizo nywele umechemsha kweli. Sijui msusi alikuwa nani?
  Hongereni. Umependeza mama ila kichwani rekebisha.
   
 16. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Sorry for CP
   
 17. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  But dont forget: Behind every failed man, there is more than one woman-Lol
   
 18. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ha ha ha Masanja hiyo nimeipenda lakini mbona wanaume wengine wana fail na wako peke yao.
  Mwanamke mvumilivu sana huyu na ndo inatakiwa, anayeuliza hana pa kwenda una maana gani angekuwa wa kwenda angeenda those days ambazo alikuwa hatoki hata na mzee, sasa hivi maambo yameiva ndo aondoke yani asile hata matunda ya mti alioshiriki kuupanda, kuumwagilia na kuweka mbolea we vipi?
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hongera sana JK na Mrs. Wamependeza na wamenifirahisha sana. Ndoa siku zote ni kupendana na kuvumiliana. Kwa mtu ambaye hukuzaliwa naye na kulelea katika malezi sawa, mmekutana tu ukubwani na mkaamua kuoana au kuishi pamoja kama mume na mke, lazima tofauti zitakuwepo, naturally. Ili kuweza kushi ni vema kuchukuliana katika mapungufu hayo.

  Ridhiwan na binti aliyehitimu Muhimbili ni watoto wa mke wa kwanza wa JK ambaye ni marehemu. Hawa walikuzwa na mama Salma kwa upendo wa hali ya juu. Another credit to mama Salma.
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  This post was uncalled for and the language was not necessary and i am sure you didnt mean what you said. He [JK] didnt come to post the photos and family matters are family matters, mlaumu aliyeleta hizo news

  Respect is very important especially on personal matters

  Hakuna mkamilifu duniani
   
Loading...