Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Baba wa taifa alikataa kabisa, wachaga wasipewe nafasi ya uraisi.
Mkuu, una ushahidi wa huko kukataa kwa Baba wa Taifa? Ebu tuwekee hapa na sisi tujiridhishe. Isije ikawa unampakazia kwa kuwa hayupo na hawezi kujitetea!
 
Bola mzee Magu ukizingua anakutimua uende Canada au Ubelgiji,mama anakukong'ota na huendi mahali"mmanina".

Ni kweli, aliwatimua, kuwauwa na kuwamiminia risasi, lakini alishindwa kutumia madaraka hayo hayo kujiepusha na kifo kilichomkuta akiwa nayo. Haonekani.. haonekani,, tukaweka matanga. Maisha ni hadithi mkuu.
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Nakupa miezi kadhaa, utapata pigo na unaweza kwenda gerezani.
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
🤣🤣🤣😁😁😁🤣😁😁
 
Jeshi letu la Polisi wanafanya kazi kwa bidii na utii sana, hakika tuna Jeshi la Polisi linalofuata sheria na taratibu za nchi yetu, tena kwa kukupa taarifa mapema kuwa usifanye jambo fulani, na ukifanya ndio unapata adhabu, huu ni uzalendo wa hali ya juu wa Jeshi letu.

Majeshi mengine ya Polisi nchi za wenzetu, wala taarifa hupewi, unashangaa umekamatwa na kupigwa vibaya na kuumizwa au hata kuuawa, na hupewi taarifa ya awali hata kidogo, ila Jeshi letu la Polisi, wanasema kabisa mapema, usifanye hiki na kile, na ukiacha kufanya, wala hawakugusi kabisa, Chadema watukutu na kujifanya jeuri sana, hivi kweli unaweza
kushindana na Jeshi la Polisi? Nadhani wamepata funzo, kwani amani tulio nayo inafaa ilindwe kwa hali na mali.
 
Mkate hauwezi kuwa mgumu mbele ya chai,hata maandazi na biskuti.
Hawa wapinzani ni km hawapo(mandazi)
Chai ipo.
Wameambiwa zaidi ya mara 10 msifanye hivi, kistaarabu tu hawajafuata
sasa wanamlalamikia nani?
Muliro ye yuko kazini wala hahitaji mtu kumwambia pale kuna shida.
Alishatoa Onyo mmekataa,
ye afanye kazi gani.
 
Unataman nawe ?

Majina yenu feki hapa wapumbavu

Keyboard Warriors

Nguvu ya Umma iko wap watanzania wapo bize kutafuta maisha yao
Hiki ndo cha kujivunia. Ila siku wakiamua watoke hadharani, haitapendeza. Naipenda nchi yangu Tanzania
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Mshahara Tshs 450,000 take home 350,000.00 ndo maana mna hasira sana kwa raia wema. Mnalamba matako ya watawala, mnaishi nyumba za maboxi, ndo maana zamani mlikuwa mnaongoza kwa ujambazi baada ya JPM kuingia mkaweka silaha chini. Nchi ikatulia mpaka leo hakuna bus kutekwa.
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Sawa! Tutawasisitiza keyboard warriors wawe wanasifia tu! Na tutahakikisha wanaelewa kila baada ya sentensi wamtaje mama SAMIA na kumpa sifa kede kede kwa maendelea nchini, kusimamia haki ya kila raia, kutupa katiba mpya, kupinga ufisadi, wizi wa rasilimali na maliasili na kutumia hela zake kufanya hayo yote na siyo kwa hela ya raia mlipa kodi!
 
Back
Top Bottom