Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Utasikia milio sana kutoka kwa hao polisi. Uje hapa uendelee kuwapongeza wakianza kutoa milio.
 
Ningekuwa Jumanne Murilo nisingekubali kufanya haya yaliyofanyika kabisa, Hili doa ni Kubwa sana na Ukuu wa Police sio lifetime Careeer utakishwa ana atarejea mtaani
 
Unless ur stupid leader, you can never ever try to stop rhis public people with this technich.

Wanaomshauri huyu mtu hawampendi.. this is Lissu my friend not Mbowe....haufiki popote

.

Lissu nyanya tu

Mikwara yake ya kishamba atafia jela
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Kwanza Polisi sio jeshi acha upumbavu wewe. Wewe mbwa unampangia nani kutumia majina halisi hapa!? Tengeneza mtandao wako au mwambie awatengenezeeni ninyi machawa wake mtandao wenu mtakaokuwa mnalazimishwa kuingia na majina halisi. Pumbavu wewe.
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Safi sana
 
Lissu nyanya tu

Mikwara yake ya kishamba atafia jela
Aliyetaka kumuua kwa risasi sasa hivi ana miaka karibu minne anakula mchanga. Inawezekana hata wewe uliye uraiani kesho ukageuka mzoga huku yeye akiendelea kuishi.
 
Kuishi kwake ataishi milele?

Nyie wapumbavu mnadhani kufa ni aibu au adhabu?
 
Ningewapongeza Jeshi la Polisi iwapo upelelezi wao kuhusu abductions na mauaji dhidi ya Wapinzani na kama wangeishapandisha Wauaji Kizimbani.

kibao.jpg
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
 
Miaka 5 iliyopita watu flani walisali sana na kulia mbele zake Muumba.
Naamini hawa watu wapo hai watarudi tena na sala kuu😀😀😀
Wenye Amani yao hasa ya Nchi.

Watupe link mapema ya Mahakama siku ya 28 April...
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Unapongeza Kwa mauaji na utekaji walioufanya,wewe na mbwa wenzio mmepata faida gani baada ya hapo?
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
kama CDM hawana nguvu mnapongezana nini?

#NoReformsNoElection
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Mkuu kwani wewe umelazimishwa kuwepo hapa JF,Anzisha Forum yako na wasajili watu kwa majina kamili

Acha upumbavu kulazimisha mawazo yako yawe ya wote

Hii JF sio ya Baba yako au Mama yako

Kama unaweza ungana na Familia yako anzisheni platform yenu mjisajili kwa majina

You are a Certified Fool of the Century
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Tuna tatizo la vijana kuwa machawa na wanafiki kwa watawala kuliko uzalendo na rasilimali zikiwa zinaondoka
 
Back
Top Bottom