Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

Ho
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
hongera jeshi letu
 
Sote tunajua, uhaini ndiyo kosa la jinai kubwa kuliko yote katika taifa. Kwanini basi Serikali haichukui hatua kufutia CHADEMA usajili kwa sababu inajihusisha na uhaini?
 
Walioenda wote wamepata kipigo cha mbwa koko wako hospitali wanaugulia kipigo. Wewe ni warrior wa mitandaoni.
Heri mie warrior wa mtandaoni kuliko wewe coward wa kila kitu mbali na kuwa chawa mchafu kama awafugaye manyeramba makaalioye.
 
We mtoa mada ni mpumbavu hata comment za insta Leo watu wamelaami vikali, naona wewe ni mmoja wa polisi waliopiga viongozi wa chadema, kichwa chako kina shida mahali Bora kukaa kimya kuliko kuropoka ili uonekane na wewe umeanzisha mada
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Erythrocyte anawaingiza chaka sana hawa nyumbu.
 
Wewe si ndiye yule kamanda wa wasiojulikana, pongezi kwa kuvunja watu miguu na mikono!
 
Oyaaa wanangu wenyeweee nimejibana nimefungua ka mgahawa smarts yaan safiiiii mjasiliamali,, sasa hizi mambo za chaguzi ndio fursa kibiashara, mahusiano bora na wadau! Sema freshiii nyie komaen na maandamano
 
Wasioenda shule a
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Akili za wasio ensa shule hujengwa kwa kwenye sababu za kuwa madikteita
Rubbish remarks kwa mwenye akili
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Kwakweli hongera kwa polisi wetu tunatembea vifua mbele kwa amani kabisa hayo mambo yao ya ulafi watajua wenyewe
 
Umetuaibisha sana Wachaga,
Umetuvua nguo,Any way tukutane mgombani December
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Kwann wasiache, magari na Mahakama vichomwe, ili Chama kifutwe?.
 
Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo

Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama

Jaribo la Chadema Kuingiza Nchi machafukoni imeshindika na wamedhibitiwa kwa ustadi na Vijana Imara wa Jeshi La Polisi

Naendelea Kutoa Wito kwa Keyboard Warriors wa Hapa Jf Kuacha kutimia Id Feki na Kutumia majina yao halisi tutambue wao ni Wanaharakati halisi na sio Panya Buku .

Hongera sana Kamanda Murilio imekua funzo kubwa
Kwa hiyo unawapa hongera kwa kuwapiga watu?chadema wamefanya vurugu wapi?mbona huwa hakunaga mchaga mjinga wewe ni wa wapi?
 
Back
Top Bottom