Hongera jerry muro kwa kufunga ndoa

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
5266745_orig.jpg


Shemeji anapendeza nawe pia wang'aa,
walisema hawezi hawezi haya sasa kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko?

PICHA KWA HISANI YA WAVUTI
 
Dada mambo ya eye contact hajui kabisaa! Hongera mkwe,Mungu akujaalie mafisadi wasikusumbue. Utulie sasa.
 
Dada mambo ya eye contact hajui kabisaa! Hongera mkwe,Mungu akujaalie mafisadi wasikusumbue. Utulie sasa.

labda elimu ya kitchen part haijamkolea na lawama tunazitupa kwenu akina dada,we si unaona Jerry alivyo onyesha ushirikiano?
 
Oooh jerry hongera mwana kwa kukwaa kitu!!! Utuuzima huo, sasa uache mimacho pembeni mwana!!!
 
Big up man,mafisadi watashindwa na kulegea na kuishiwa nguvu.kuwa mwaminifu usipende wengine
 
Walivyo nuna utadhani wako kwenye msiba.
Kwa nini watu wanapenda kujitesa hivi, sijuagi!
 
Anaoa halafu akienda gerezani atamuachia nani huyo mke wake? Uamuzi wake haukuwa wa busara kabisa.
 
Acha tu! Natamani hilo jicho angekua ananiangalia mie,lol!

mmmmmmmmmmmh King'asti polepole na mume wa mtu eti,mbona wapo kubao wenye uwezo wa kutoa jicho kama nyanya? kama huna waweza toa tangazo hapa Jf,kwa upande wangu tayari jicho langu nimeshamtolea mtu labda umwone mwita25
 
Back
Top Bottom