Hongera jerry muro kwa kufunga ndoa

5266745_orig.jpg


Shemeji anapendeza nawe pia wang'aa,
walisema hawezi hawezi haya sasa kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko?

PICHA KWA HISANI YA WAVUTI

Muro, ukipata jiko ukiwa shidani ujue umepata mke. Mungu awatangulie, ndoa ina challenges zake, Mungu awe hekima na busara ya kuzivuka.
 
Hongera Jerry,ilikuwa lini jamani?
Jerry Muro amefunga ndoa na bi. Jennifer John katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Azania Front jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili iliyopita.
 
Anaoa halafu akienda gerezani atamuachia nani huyo mke wake? Uamuzi wake haukuwa wa busara kabisa.

kwani wewe ni askari wa usalama barabarani? naona maandishi yako yana upotofu wa maadili kama serikali ya ccm. unahangaika wamzidi mtetea! JERY HONGERA, KARIBU KWENYE CHAMA LETU, TAFUTA KATIBA YA CHAMA, ZISOME SHERIA NA KANUNI KISHA UZIZINGATIE!!!!!! MWAEGO MMEPENDEZA WANAONA DONGE.
 
afu nilikuwa nammendea jerry,sikujua ana kifaa cha nguvu hivyo....:pray:
 
Aisee amefanya la maana sana hata wakimmwagia miaka jela ajue mali zake ziko safe akitoka
big up br umesoma nyakati
 
5266745_orig.jpg


shemeji anapendeza nawe pia wang'aa,
walisema hawezi hawezi haya sasa kikuwapi cha kumpikia mgeni mwenyewe kulamba mwiko?

Picha kwa hisani ya wavuti

mmmh nimependa hayo macho jery umelegeza kuliko kipimo naona huyu dada macho yako ngaaaaaaaa
natumaini shugulini unalegeza zaidi mama apate ladha kamili ya vaistrooooooooooooooooooo
 
Mungu akubariki. Aibariki ndoa yako. Ambariki mkeo.

Familia iwe ya Amani.
 
Lol! Mwita atanikata sime ya makalio manake akioa mke wa pili mi naongeza small house 2! Labda jerry akishazoea ndoa nimfungukie humu niwe small house yake. Unajua jina lake la jf?
mmmmmmmmmmmh King'asti polepole na mume wa mtu eti,mbona wapo kubao wenye uwezo wa kutoa jicho kama nyanya? kama huna waweza toa tangazo hapa Jf,kwa upande wangu tayari jicho langu nimeshamtolea mtu labda umwone mwita25
 
Back
Top Bottom