Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

Havai ujinga Bali ni mjinga.huyu bwana anafikiri humu jukwaani anaandikia wajinga.namshauri labda aende huko chemba,bahi,na kwao misungwi akahutubie laivu angalao ataeleweka na wajinga wenzie.lkn humu anajichoresha.
 
Upuuziii Wa BAVICHA NDIO HUU
 
Nilipenda sana makala na hoja zake zikigusa maeneo mengi. Leo ni upande mmoja tu kusifia.
Nikiona makala yake huwa nasoma tu kichwa naishia.
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyosifu!.
P
 
Mzee paskal nowdayz hujawahi kuisemea mema CHADEMA !!
Karibu
P
 
Mnafiq mkubwa wewe
Tujifunze kujibu hoja kwa hoja na sio kujibu hoja kwa viroja, hili ni Jukwaa la Siasa, tunajadili siasa hatuwajadili watu wala mtoa mada.
Suppose ni kweli mtoa mada ni mnafiki, sawa, baada ya taarifa yako hiyo, sasa jibu basi hoja iliyo mezani!.

Sijawahi kuona hoja zako hasa linapokuja suala la Chadema na viongozi wake ninachoona ni chuki zako tu ndiyo maana nakunyookea wewe mwenyewe.
 
Mayalla yeye tujiulize yeye kayajuaje Mambo ya Chadema wakati sio mwana Chadema kumbuka anayoyajua ndani ya Chadema hua ni Yale mabaya tuu hajawahi ona mazuri hata siku Moja
Mkuu MAPITO Mwanza, na hili ni baya?.
P
 
Mwamba karudi nyumbani ITV, mtafutieni tena mfanye nae mahojioano.

Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
 
Sielewi kabisa mtu anaposema wafanye siasa za kiungwana bila kutuambia hizo siasa za kiungwana ni zipi na ni lini kuna watu waliwahi kufanya siasa ambazo sio za kiungwana.

Watu wasitake Chadema waje kufanya kazi ya kijinga inayofanywa na vyama vingine pandikizi ya kuisifu ccm wakati wenyewe ndio wameangamiza hii nchi na kwa kulijua hilo ndio maana wao wanafanya kazi ya kuhujumu uchaguzi kila wakati.
 
Mimi wajibu wangu ni kutupia video za staha kutoka kwenye kile chama cha mastaha😁😁😁
Your browser is not able to display this video.

Leo tena hii ngoma dewani
Hii sio ya kukosa!.
P
 
Leo Jumatatu atakuwepo hewani, kuanzia 21:00.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…