ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Kwani ya Papa wemba Diamond ndo kaachia??Nyimbo ni nzuri sana lajini najiuliza mbona WCB wanamwaga nyimbo nyingi Sana? Haipiti miezi miwili,ngoma mpya inaachiwa. Ile ya Papa Wemba na Platinums sidhani hata kama Ina wiki tatu,wanaachia na hii. Ila anyway,labda management yao inaona mbali.
Link ya wimbo wa matatizo ulioimbwa na Harmonize chini ya Label ya WCB hii hapa.
Is a half of diamondWimbo mzuri
Ila udiamond mwingi
Yan who is hormonize???? Naomba akisoma yeye ajiulize...
Lucky Dube hakumuiga Bob Marley. Mitindo yao ilikuwa tofauti kabisa.I'm an opposite team ila huu wimbo ni mzuri, kuhusu kuiga sioni tatizo coz wanafanya mziki wa aina moja, mbona hujasema lucky dube anamuiga bob marley.