Hongera Freeman Mbowe kwa kauli ya kishujaa

Empty brain at work.
CCM imeuza rasilimali zote za nchi, na sasa imehamia kudumaza akili za wanachama wake. Sijui kwanini CCM inawatendea vibaya hivyo wanachama wake. Unastahili maombi maalum ili uweze kujitoa kwenye hilo shimo la choo(CCM) ulikotumbukia. Tunazidi kukuombea labda akili zako zitakurudia.
Kwanini unahisi cdm haipaswi kukosolewa, ccm kuuza rasilimali za nchi si kigezo cha watu kugeuza vyama vya siasa kuwa saccos.

Halafu kwanini unahisi una Haki ya kukosoa lakini si kukosolewa, huo ni umama
 
Siku zote nitaendelea kumkubali mh Mbowe kwa uongozi wake na mapenzi yake ya dhati kwa watanzania ili hatimaye atukomboe,angalia maneno yake ya kishujaa hapo chiniView attachment 907556
Mungu akinijalia tena katika uzee wangu huu kupata mtoto wa kiume basi jina nimeliweka ataitwa...FREEMAN.
Hayà majina mazuri mazuri tanafaa kuwabatiza watoto wetu.
 
Lumumba hamna mandate ya kuwakosoa wenzenu maana mnanuka dhambi kibao
Kwanini unahisi cdm haipaswi kukosolewa, ccm kuuza rasilimali za nchi si kigezo cha watu kugeuza vyama vya siasa kuwa saccos.

Halafu kwanini unahisi una Haki ya kukosoa lakini si kukosolewa, huo ni umama
 
Ubarikiwe mkuu na mungu ni mkubwa kuliko wanao jiita hilo jina
Mungu akinijalia tena katika uzee wangu huu kupata mtoto wa kiume basi jina nimeliweka ataitwa...FREEMAN.
Hayà majina mazuri mazuri tanafaa kuwabatiza watoto wetu.
 
Wana lumumba wote washaharibiwa na chakubanga
Empty brain at work.
CCM imeuza rasilimali zote za nchi, na sasa imehamia kudumaza akili za wanachama wake. Sijui kwanini CCM inawatendea vibaya hivyo wanachama wake. Unastahili maombi maalum ili uweze kujitoa kwenye hilo shimo la choo(CCM) ulikotumbukia. Tunazidi kukuombea labda akili zako zitakurudia.
 
Nani sasa atakuambia..maana yoyote atakayejitokeza utakimbilia chako lako la siku zote kuwa msaliti..katumwa na ccm..
We endelea kupiga bwana..kodi ya pango, deni lisiloisha, madeni ya magari, kuwatweza utu wao wabunge wa kike..
Hivi wewe ni muumini Wa dini gani unasali kweli huwa Mara nyingi huwa nasoma comments zako nashindwa kuelewa umri wako hata kama umri lakini huna sehemu ya ibada sawa hata umwogopi Mungu hujui kuna amri inayokataza kusingizia uwongo mwenzio?hata haujui utani unamsingizia mtu uwongo kama utani mkuu wangu usimtanie kilema kwa ulemavu wake tafuta utani kama utani kipindi cha Dk silaa alikuwa unamsemawe wewe siku hizi naondoka chadema sijawahi kuona unamsema tena 'kwenye mada kama hauna lakuchangia wewe pita tu hii ni jamii forum great thinkers huwa tunasoma kupata mawazo ya wengi mfano angalia p mayalla anavyocoment kama siyo great thinker huwezijua ameegemea upande gani nawe jitahidi kuwa hivyo
 
Kweli wewe ni GT
 
Ha ha ha haaaaaaaa

Anawapima nyie wenyewe kwenye chama lenu lililo futi 6 mnapojichimbia

Kataja CCM kufunika tu na pia bila kutaja hasingepata kiki.. fikirieni nje ya boksi sio mnakuwa wazuzu wake kila mara.. mko kama 👻👻👻

Jipongeze kwa kuwa ZUZU maana hujaanzisha nyuzi muda murefuuuu eeeeeh

Jipige vibao ulie kabisa 💀

Wewe nawe dada hivi huwa unajitambua? Nenda martenity basi upumzishe hilo tope lako kichwani
 
Hiki kiswahili ulichoandika humu ni makusudi au ni kutuonyesha kuwa kale kaelimu ulikokapata shule ya kata hakaswihi? Kwa mwandiko huu, haiyumkini unakatikiwa! Maliza hiyo shughuli urudie kuandika upya!

Oyoooooo

🤡🤡🤡

Duh!!!
 
Back
Top Bottom